Tanzania: The East African Capital of Data Cooking faces World Bank Sanctions over the same

World Bank kwa sasa inatekeleza miradi yenye thamani ya Trillion 10.2 ($ 4 billion) nchini Tanzania kwa sasa. This timeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwenye wivu ajinyonge. Hii habari ya juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
world bank wanazidi kumwaga pesa Tanzania. Wanasema the future of Tanzania is more promising. Kwa sasa miradi ambayo ipo kwenyr progress stage hapa TZ ni more than Tsh 10 Trillion inayo faziliwa na World Bank
Sidhani kuna ubishi wowote kuhusu hilo. Soma kwanza taarifa kwenye hiyo link hapo kwenye mada ya uzi. Alafu ukishaelewa mbona ufadhili wote huo upo matatani urejee upya kama great thinker.
 
Leo ndio nimejua kwamba Reuters ni shirika la habari la kikenya na World Bank ni ya hapa hapa Nairobi. Kila siku najifunza mapya hapa Jf.
Kila wakibanwa ni Kenyan propaganda. I am sure when a Tanzanian is arrested abroad, he will blame it on Kenyan propaganda.:D:D:D
Hii habari ya juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sio mimi ni BBC!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„
 
Sidhani kuna ubishi wowote kuhusu hilo. Soma kwanza taarifa kwenye hiyo link hapo kwenye mada ya uzi. Alafu ukishaelewa mbona ufadhili wote huo upo matatani urejee upya kama great thinker.
Soma hiyo Taarifa ya tarehe ngapi na hii taarifa ya tarehee ngapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii ya juzi. Bado mbichi kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sidhani kuna ubishi wowote kuhusu hilo. Soma kwanza taarifa kwenye hiyo link hapo kwenye mada ya uzi. Alafu ukishaelewa mbona ufadhili wote huo upo matatani urejee upya kama great thinker.
soma source ya hiyo taarifa niya tarehe ngapi na hii ni tarehe ngapi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunapo kimia jua hatutaki kujisifia ovyo ovyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sidhani kuna ubishi wowote kuhusu hilo. Soma kwanza taarifa kwenye hiyo link hapo kwenye mada ya uzi. Alafu ukishaelewa mbona ufadhili wote huo upo matatani urejee upya kama great thinker.
Soma hii habari vizuri ukiwa umevua miwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Pia naomba uchukue note ya tarehe na miezi yake iliyoko kwenye hii taarifa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama kiswahili kitakuwa kigumu kwako tumia kamusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Tangu tulianza kuambiwa Tanzania uchumi wake unakua kwa asilimia 7% na la kushangaza tunazidi kuongeza pengo dhidi yao, tunazidi kuwashinda, huwa haingii akilini.
 
Hesabu zinakusumbua. 7Γ—50, 5Γ—76.0 ipi kubwa?
 
Ukuaji wa uchumi wetu umewahi hata kushuka hadi 0.2% mnamo mwaka wa 2008 wakati nchi yetu iliingia kwenye machafuko, halafu pia tumechezea kenye 4% kwa muda mrefu, sasa nyie muda wote tunaambiwa 7% or more lakini ukiangalia pengo la uchumi baina yetu na nyie linazidi kuongezeka, tunaendelea kuwaacha kuleee!!!!

Acheni kupika data na mkubali matokeo kama yalivyo, it's the first step towards development, kuujua ukweli wa jinsi unavyofanikiwa kama kweli unapiga hatua za kweli au maigizo. Upikaji wa data utawapa feel good sensation lakini tatizo litabaki pale pale. Ni kama domo zege anayeishi kwa nyeto miaka yote hataki kutia jitihada za kutongoza apate the real thing.

Be ready to handle the truth and you will be free.
 
Tangu tulianza kuambiwa Tanzania uchumi wake unakua kwa asilimia 7% na la kushangaza tunazidi kuongeza pengo dhidi yao, tunazidi kuwashinda, huwa haingii akilini.
pengo gani hilo. TuonyesheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukuaji wa uchumi wetu umewahi hata kushuka hadi 0.2% mnamo mwaka wa 2008 wakati nchi yetu iliingia kwenye machafuko, halafu pia tumechezea kenye 4% kwa muda mrefu, sasa nyie muda wote tunaambiwa 7% or more lakini ukiangalia pengo la uchumi baina yetu na nyie linazidi kuongezeka, tunaendelea kuwaacha kuleee!!!!

Acheni kupika data na mkubali matokeo kama yalivyo, it's the first step towards development, kuujua ukweli wa jinsi unavyofanikiwa kama kweli unapiga hatua za kweli au maigizo. Upikaji wa data utawapa feel good sensation lakini tatizo litabaki pale pale. Ni kama domo zege anayeishi kwa nyeto miaka yote hataki kutia jitihada za kutongoza apate the real thing.

Be ready to handle the truth and you will be free.

toa evidence ya data iliyopikwa. World last week wamesema wanaongeza zaidi ya 1 trillion kabla ya huu mwaka kuisha. Wanatupa kwa sababu tunalipaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
world bank wanazidi kumwaga pesa Tanzania. Wanasema the future of Tanzania is more promising. Kwa sasa miradi ambayo ipo kwenyr progress stage hapa TZ ni more than Tsh 10 Trillion inayo faziliwa na World Bank
So aside from Chinese loans mko na kshs500billion za world bank? kwani "tunatumia pesa zetu za ndani" ilikwenda wapi?
Ubaya ya uwongo ni kuwa inakubidi utumie uwongo mwingine mkubwa to cover ile ya awali.
Afu njoo na ile Picha yangu...
 
They've lied so much they forgot they lied. Sasa ni kujiumbua wenyewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom