Tanzania: The East African Capital of Data Cooking faces World Bank Sanctions over the same

So aside from Chinese loans mko na kshs500billion za world bank? kwani "tunatumia pesa zetu za ndani" ilikwenda wapi?
Ubaya ya uwongo ni kuwa inakubidi utumie uwongo mwingine mkubwa to cover ile ya awali.
Afu njoo na ile Picha yangu...
Kwahyo imekatzwa kukopa.. Kama mnatumia pesa za ndani?
 
Kopa na ukubali kweli unakopa sio kujisifia kwamba hauwezi kukopa ilhali kila mtu anakuona unavyozungusha kibakuli....maskini jeuri.
Ni uchokozi tu ..wa Tz wanawachokoza na nyie mnacatch feelings.. Yes kuna project nying sana Tz tunajenga kwa pesa zetu.. Kwan si kuna habari nyng tu tena zinakujaga humu kwamba Tz inachukua loans WB... Sema kwenye chinese toka Magu aiingie hatujachukua mkopo china hata mmoja wala hatujawaomba kwa sababu ya masharti yao..ila nyie mmezidisha mikopo sana..
 
Hamutochokozi sisi maana hili la kujisifia kufanya miradi kwa pesa zenu lipo linasemwa baina yenu, maana Magu anapohutubia Watanzania na kusema anafanya kila kitu kwa pesa zenu za ndani, hao hao Watz ndio tunaona wakihoji kwenye mitandao huku wakileta orodha kubwa ya madeni mnayokopa na kudaiwa.

Ni dhahiri sisi Wakenya tumekopa na tutaendelea kukopa, haiwezekani ukafanya makubwa tunayoyaona kwenye nchi yetu bila kukopa. Cha msingi ni socio-economic benefits tunazozipata kutoka kwa kila kinachozinduliwa.

Miundo mbinu sasa imeweza large movement of goods and people within the country, hivyo Wakenya wanazidi kutanua maana nafasi na uwezo wa kuzalisha upo.
 
Sawa.. And i think its what most of african countries wanachofanya trying to develop infrastructures at a very high rate .. Unajua mpka uweze kupokea pesa ya mkopo ya World Bank.. Maana they are sure unaweza kuilipa...my big qn is kenya hela yenu ya ndani inatumika wapi sana sana.. Maana nkiangalia nyie mnamapato makubwa ya kodi.... One thng i knw ni mishara yenu mikubwa sana.. Na kwann mnafanya hvyo wakati wananchi bado wanahitaji maendeleo.. Hili swala hata Tz naliona kwa upande wa members of parliament
 
Sasa nimekuuliza ukuajiwa uchumi wa tanzania labda ukue 10% na nyie sifuri for five yrs ndio tuwakute. Fikiri kwa makini realistic data tz inatoa.
Ukuaji wa uchumi wetu umewahi hata kushuka hadi 0.2% mnamo mwaka wa 2008 wakati nchi yetu iliingia kwenye machafuko, halafu pia tumechezea kenye 4% kwa muda mrefu, sasa nyie muda wote tunaambiwa 7% or more lakini ukiangalia pengo la uchumi baina yetu na nyie linazidi kuongezeka, tunaendelea kuwaacha kuleee!!!!

Acheni kupika data na mkubali matokeo kama yalivyo, it's the first step towards development, kuujua ukweli wa jinsi unavyofanikiwa kama kweli unapiga hatua za kweli au maigizo. Upikaji wa data utawapa feel good sensation lakini tatizo litabaki pale pale. Ni kama domo zege anayeishi kwa nyeto miaka yote hataki kutia jitihada za kutongoza apate the real thing.

Be ready to handle the truth and you will be free.
 
Sawa.. And i think its what most of african countries wanachofanya trying to develop infrastructures at a very high rate .. Unajua mpka uweze kupokea pesa ya mkopo ya World Bank.. Maana they are sure unaweza kuilipa...my big qn is kenya hela yenu ya ndani inatumika wapi sana sana.. Maana nkiangalia nyie mnamapato makubwa ya kodi.... One thng i knw ni mishara yenu mikubwa sana.. Na kwann mnafanya hvyo wakati wananchi bado wanahitaji maendeleo.. Hili swala hata Tz naliona kwa upande wa members of parliament

Cha msingi ni kuwa makini na public debt expenditure to Revenue ratio, lakini hata hivyo kuna hela nyingi zinatumika kwenye mishahara, hilo linafaa kuangaliwa, ni kitu ambacho hata mimi huwa hakinipi raha, itatulazimu kufuta baadhi ya nyadhifa.
 
Sasa nimekuuliza ukuajiwa uchumi wa tanzania labda ukue 10% na nyie sifuri for five yrs ndio tuwakute. Fikiri kwa makini realistic data tz inatoa.

Nielewe ipasavyo, siongei kuhusu nyie kutufikia maana hicho kitu sio cha kushuhudiwa kwenye kizazi cha leo, lakini nazungumza kuhusu kwamba pamoja na ukuaji wenu kuzidi wa kwetu lakini pengo linazidi kuongezeka. Kenya leo hii inachezea kwenye $85b ambapo ni gap kubwa sana ambayo imeongezeka ukilinganisha na Tanzania.
 
Kopa na ukubali kweli unakopa sio kujisifia kwamba hauwezi kukopa ilhali kila mtu anakuona unavyozungusha kibakuli....maskini jeuri.
world bank inatukopa kwa sababu tunalipa kwendana na makubaliano.. We are on the same track with world bank
 
Nielewe ipasavyo, siongei kuhusu nyie kutufikia maana hicho kitu sio cha kushuhudiwa kwenye kizazi cha leo, lakini nazungumza kuhusu kwamba pamoja na ukuaji wenu kuzidi wa kwetu lakini pengo linazidi kuongezeka. Kenya leo hii inachezea kwenye $85b ambapo ni gap kubwa sana ambayo imeongezeka ukilinganisha na Tanzania.
Mnapenda sifa mpaka mnasahau kula mlo kamili. Gdp ya 85 billion lakini unemployment rate 40%. Hebu mkawekeze kwenye jamii sasa achaneni na infrastructure. Roads rail ambazo in USD 20 billion .
 
Ukumbuke pia umasikini Tz ni zaidi ya nusu ya wananchi wote, takwimu za UN zinasema ni 51.4% ila bado mnazindua miradi ya ajabu ajabu kila uchao. Kenya umasikini upo 36%, sasa nashangaa hizo takwimu zako za 'unemployment' Kenya zinamaanisha nini. Wakenya wengi wanajiajiri wao wenyewe, ila matatizo yetu tunayajua, hatuyafichi mvunguni jombaa.
 
Our gdp reflects reality not yours. Na uchumi wenu tunaujua vyema umejengwa kwa vitu gani na namna ulivyogawanyishwa. Shidamnavotaka gap ya usd 20 bilion ya zaidi ya miaka kumi muone ikipungua kwa ukuaji wetu wa 7% ilihali nyie mpo 5%. No way gap litabaki tu. Gap kutopungua sio sababu ya kusema tz inapika data.

Aliyewashutumu kwa hayo mambo ya data zisizoeleweka ni World Bank, takwimu za Kenya zipo wazi kutoka kwa mashirika husika sio GOK pekee yake. Uchumi wa Kenya unakua pia, usije ukadhani gap litapungua tukiwa tumelala.
 
Leta ushahidi wa benki ya dunia imeishutumu Tanzania juu ya takwimu. Huo uchumi wenu ni artificial tutafutane miaka mitano ijayo.

Naona uliingia kwenye uzi huu kusoma comments tu. Nyinyi wenyewe ndio mnataka kukubali sheria ambayo itamtupa korokoroni kwa miaka mitatu yeyote yule ambaye atajaribu kohoji takwimu kutoka kwa GoT. Kama uchumi wa Kenya ni 'artificial' basi uchumi wa Tz nao utakuwa ni 'non-existant'. Ni miongo karibia miwili sasa imepita tangu muanze kutuambia kwamba tutafutane miaka mitano ijayo.
 
Sheria kupendekezwa means gdp cooked ?. Debt to gdp ratio will be eating you. Handcuffed no more room for credit you wiill have to improve your credit rating. Imf wb will be on your neck. Your economic policy will need a no objection from dc. Unless you scale down your infrastructure developmnetn ambition. Bila kusahau kucheza vizuri na geopolitics.
 
Kumbe ni yale yale ya fisi kungoja kwa hamu mkono udondoke? Tatueni matatizo yenu kwanza, yetu tunayafahamu vyema. Haimaanishi Kenya ikianguka ndio mtapaa kiuchumi. Kama hujajiuliza hadi sasa hivi mbona GoT inaingiza ubabe hadi kwenye maswala simpo kama takwimu basi itakuwa akili zako zimetafunwa kweli kweli.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom