Tanzania television inatisha....

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Naipenda sana Tanzania Television.Ina vipindi bomba kweli na vyenye mpangilio.Watangazaji wake(Watumishi wa Serikali na Wakuu wa Chama cha Magamba) ni mahiri mno.Wanaweza kucheza na akili za watu hadi walionuna wakacheka.Baada ya kutazama kipindi cha EPA,Richmond/Dowans,Mgomo wa Walimu,Wastaafu wa Afrika Mashariki,Babu wa Loliondo,Maandamano na kesi za CHADEMA,Mauaji ya raia,Jukwaa la Katiba,kilichofuatiwa na Kujivua gamba pamoja na Muswada wa Katiba,sasa tunatazama Maadhimisho ya miaka 50 ya 'Uhuru' wa Tanganyika.Kipindi hiki kitafuatiwa na Malipo ya Dowans.....stay turned!
 
Back
Top Bottom