Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 520
- 1,466
Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time.
Tuna nini?
Lakini sasa swali la mtaa ni hili:
Kama tuna kila kitu, mbona maisha ya mwananchi wa kawaida ni ya hovyo hivi?
Why are people suffering wakati nchi ni loaded?
Jibu ni moja tu bro: MISMANAGEMENT & FAKE LEADERSHIP.
Hakuna uongozi wa kueleweka. Ni kelele, ni siasa, ni propaganda, ni promises za hewani. Kila mtu anatafuta his cut, wananchi wanabaki wakilia. Watu wanacheza na rasilimali zetu kama ni mali ya babu yao. Wanatudharau, wanatuona kama matako yao, straight up disrespect.
Kama tungekuwa na viongozi halali, hawa mambo ya muhimu sana ya kufanya:
1. System kali, sio maneno
Mfumo unaojieleza, unaoeleweka, unaolinda wanyonge. Not this corruption bullshit. Ukikosea unawajibika, haijalishi wewe ni nani.
2. Industrialization ya ukweli
Sio kusafirisha raw materials. Madini yasafishwe hapa, mazao yaongezwe value hapa. Hapo ajira zinatokea automatic.
3. Youth empowerment real talk
Mikopo isiyo ya unyonyaji, training za vitendo, support ya biashara ndogo ndogo. Sio seminars za kupiga picha tu.
4. Education ya kazi, sio vyeti vya kufa
Ufundi, technology, agriculture ya kisasa, tourism ya maana. Vijana wafundishwe ku-produce, sio kusubiria kuajiriwa.
5. Public services ziwe simple & digital
Leseni, vibali, biashara, kodi, vyote viwe clear. Hakuna kumzungusha mtu ili utoe rushwa.
6. Ajira chache lakini zenye impact kubwa
Bro, hata uki-ajiri watu 50 tu, kama mifumo iko poa, hao watu 50 wanaweza ku-create opportunities kwa maelfu. Mfumo mzuri unaajiri watu indirectly, sio lazima serikali iwaajiri wote.
7. Respect kwa mwananchi
Serikali iwe servant, sio boss. Mwananchi awe priority, sio ATM ya viongozi.
Ukweli mchungu ni huu:
Tatizo la Tanzania sio ukosefu wa rasilimali, ni ukosefu wa uongozi wa maana.
Until we fix the system, tutabaki kulalamika, vijana wataendelea kusema “hakuna ajira”, na wageni wataendelea kunufaika na jasho letu.
Hii nchi inaweza kusimama yenyewe, bila misaada, bila begging.
Tunahitaji viongozi wa real talk, sio sweet talk.
No more mchezo. No more nonsense.
It’s time to wake the hell up.
Tuna nini?
- Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni yetu PEKEE duniani). Europe wengi hawana hata robo ya hii.
- Ardhi: Ardhi kubwa, yenye rutuba hatari. Ulaya wanapigania hekta 1, sisi tunaacha maelfu bila mpango.
- Maji: Maziwa makubwa (Victoria, Tanganyika, Nyasa), mito, bahari. Wengine wanategemea mvua ya prayer.
- Utalii: Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro, Zanzibar. Hii ni world-class level, hakuna story.
- Nishati: Gesi, jua, upepo, maji. Hapa tunaweza kuzalisha umeme wa kufeed East & Central Africa.
- Watu (youth): Vijana wengi, nguvu kazi fresh, akili kali, ila mfumo unawabana kama pingu.