Tanzania taifa la WALEVI. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania taifa la WALEVI.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Aaron, Mar 7, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,120
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  Taifa letu linatengeneza kizazi kilevi... kwani kila kukicha taifa letu linaingia UBIA na makumpuni mengi kutoka nje ya nchi... mbona sijawi kusikia nchi yetu imeingia USODA na kampuni lolote?? taifa letu linaelekea wapi??
   
 2. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  linaelekea kwenye kasi ya ajabu na hali ngumu ya maisha
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,121
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Huu ni utani na mzaha mzuri unaocheza na maana ya maneno.Utani na mizaha ya aina hii ya kucheza na maana ya maneno inanoga sana.(kwangu).Lete nyingine ya aina hii tafadhali.


  9
   
Loading...