TANZANIA, Tafadhali, Represent TAIFA LAKO on International Forum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA, Tafadhali, Represent TAIFA LAKO on International Forum

Discussion in 'International Forum' started by Kongomani, Jan 29, 2011.

 1. K

  Kongomani Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Some Tanzanian projects and constructions.


  TANZANIA | General Construction
  TANZANIA | General Construction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | multi-billion high rise project | Approved
  TANZANIA | Dar es Salaam | multi-billion high rise project | Approved - SkyscraperCity

  Dar es Salaam Waterfront Project|Proposed
  Dar es Salaam Waterfront Project|Proposed - SkyscraperCity

  PSPF Twin Towers|Dar es Salaam|32 Storey|Underconstruction
  PSPF Twin Towers|Dar es Salaam|32 Storey|Underconstruction - SkyscraperCity

  Reload this Page Dar es Salaam New City - Kigamboni
  Dar es Salaam New City - Kigamboni - SkyscraperCity

  Arusha / Saba Saba Hotel | U/C.
  Arusha / Saba Saba Hotel | U/C. - SkyscraperCity


  TANZANIA | Dar es Salaam | Crystal Tower|15 storey|underconstruction
  TANZANIA | Dar es Salaam | Crystal Tower|15 storey|underconstruction - SkyscraperCity

  Dar es Salaam Bus Rapid Transit
  Dar es Salaam Bus Rapid Transit - SkyscraperCity

  Tanzania|Dar|Kempinsky Kilimanjaro mix use|Prosposed
  Tanzania|Dar|Kempinsky Kilimanjaro mix use|Prosposed - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Samora Tower|19 Storey|Underconstruction
  TANZANIA | Dar es Salaam | Samora Tower|19 Storey|Underconstruction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Apartment block|15 Storey|underconstruction
  TANZANIA | Dar es Salaam | Apartment block|15 Storey|underconstruction - SkyscraperCity

  Tanzania|Dodoma International Airport|$75 million|Proposed
  Tanzania|Dodoma International Airport|$75 million|Proposed - SkyscraperCity

  TANZANIA | Zanzibar | Abeid Karume International Airport Terminal II Extension
  TANZANIA | Zanzibar | Abeid Karume International Airport Terminal II Extension - SkyscraperCity

  TANZANIA | Julius Nyerere International Airport Terminal III | Under Construction
  TANZANIA | Julius Nyerere International Airport Terminal III | Under Construction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Uhuru Heights | Mixed-Use | 25 fl | Proposed
  TANZANIA | Dar es Salaam | Uhuru Heights | Mixed-Use | 25 fl | Proposed - SkyscraperCity

  Tanzania Ports Authority HQ|30 storey|Dar-Es-Salaam|proposed
  Tanzania Ports Authority HQ|30 storey|Dar-Es-Salaam|proposed - SkyscraperCity


  TANZANIA | Dar | Millennium Tower II | 27 fl | Under construction
  TANZANIA | Dar | Millennium Tower II | 27 fl | Under construction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Dar Village | Proposed
  TANZANIA | Dar es Salaam | Dar Village | Proposed - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Nyerere Convention Center | Under construction
  TANZANIA | Dar es Salaam | Nyerere Convention Center | Under construction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | mnfhouse | 15 Fl | 20 Fl | Proposed
  TANZANIA | Dar es Salaam | mnfhouse | 15 Fl | 20 Fl | Proposed - SkyscraperCity

  EAC Head Quarters|Arusha|Tanzania| Underconstruction
  EAC Head Quarters|Arusha|Tanzania| Underconstruction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Bagamoyo | Sky Golf City | Proposed
  TANZANIA | Bagamoyo | Sky Golf City | Proposed - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Viva Tower|21 fl|underconstruction
  TANZANIA | Dar es Salaam | Viva Tower|21 fl|underconstruction - SkyscraperCity

  TANZANIA | Dar es Salaam | Sameer Headquarters
  TANZANIA | Dar es Salaam | Sameer Headquarters - SkyscraperCity
   
 2. K

  Kongomani Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzanian Photo Galleries.  Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery
  Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - SkyscraperCity

  Mwanza|Tanzania|City Gallery
  Mwanza|Tanzania|City Gallery - SkyscraperCity

  Tanzania Tourism
  Tanzania Tourism - SkyscraperCity

  Tanzanian malls and shopping centers
  Tanzanian malls and shopping centers - SkyscraperCity

  Tanzanian Roads/Streets/Highways/Expressways
  Tanzanian Roads/Streets/Highways/Expressways - SkyscraperCity

  Arusha | Tanzania | City Gallery
  Arusha | Tanzania | City Gallery - SkyscraperCity

  Tanzanian Culture & Arts Photos
  Tanzanian Culture & Arts Photos - SkyscraperCity

  Mbeya|Tanzania|Gallery
  Mbeya|Tanzania|Gallery - SkyscraperCity

  Tanga|Tanzania|Gallery
  Tanga|Tanzania|Gallery - SkyscraperCity

  Kigoma|Tanzania
  Kigoma|Tanzania - SkyscraperCity

  Dodoma | Tanzania | City Gallery
  Dodoma | Tanzania | City Gallery - SkyscraperCity
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu vitu ni vikali sana.
   
 4. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  May God bless you Kongoman.:clap2:
   
 5. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,076
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  Yaani tuko member wachache sana kule, kama kumi hivi inabidi
  wengine wajiunge. Watu wengi huwa hawajui kabisa kuhusu
  Tanzania lakini wakiona picha huwa wanashangaa kwanini
  hakuna watanzania pale kuitangaza nchi yao.

  Yaani ni watu wa mataifa mengine ndiyo wanatusaidia ili tuwe
  na sub forum ya Tanzania. Ma- Moderators wa pale wanaseme
  hawawezi ruhusu tuwe na forum yetu kwasababu members
  ni wachache sana.

  Najua kuna ufisadi na mambo mengine ambayo tunajadili lakini
  si vibaya kama sikumojamoja tukipost picha mbili tatu
  skyscrapercity ili tuweze itangaza nchi yetu.
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja mkuu..
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Inavutia sana kazi nzuri...

  Tunakuja kuwasha moto huko..
   
 8. C

  Chumbageni Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu mbona huonekani tena SSC?

  Ni kweli...wanashangaa kwanini wakuna waTanzania kutangaza nchi.

  Unaweza kuamini kuna Jamaa mmoja anaitwa Kenguy (Mkenya) ndo alikuwa anatangaza nchi yetu hadi mwaka jana.Yaani alikuwa ana post picha nzuri za DSM na picha za vivutio vya kitalii vilikuwa posted na Mkenya mwingine anaitwa Mwanamwiwa.

  Sasa hivi kuna Watanzania kama 10 kwenye SSC.Lakini bado haitoshi.

  Baada ya hawa kumi kujitokeza na ku post picha za DSM, wengi wa mataifa mbali mbali hawakuamini kama DSM ni kubwa mno na sa hivi inashindana na Luanda kwa uwingi wa ujenzi.

  Kuna harakati ya kuanzisha Forum ya Tanzania kwenye SSC kwa lugha ya kiswahili ili watanzania wazidi na iwe endelevu.

  Kwa sasa hivi jiungine tuu na mnaweza kutumia kiswahili.
   
 9. C

  Chumbageni Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ni mda sasa!
   
 10. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,076
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  Long time no see, dude.
  I'll post some more pics there.
  BTW how've you been doin' lately.
  Thax for checkin' on me
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu, lakini tutafika tu usijali sana...:A S clock:
   
 12. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  tunatumia kila njia kuwaalika lakini wapi, sijawahi kuona wanaongezeka au hata kuwa member na kutochangia chochote, nimetuma picha na link karibia blog zote za wabongo, huwezi kuamini, nilidhani watu wengi hasa wale ambao hawapo nyumbani siku nyingi wanamiss home na wangependa kuangalia kinachoendelea, du nikaonekana kama anorak flani hivi, hamna noma, libeneke tutaliendeleza hamna noma, wanatakiwa wachangiaji wote afya njema, na wakenya wetu ambao wanatupiga tafu, tutafika tuu, vijana wengi wa tanzania hawana mwamko katika mambo ya nchi yao, sijui ni uvivu au woga au aibu, du hadi najuta, big up tanzan, chamoto, tz boy, geza ulole, kiligoland, mark s, jnyerere, mwinyi, rockycity, na wengine kama nimesahau jina lako, im proud of you. Tanzania will be better tomorrow, so do dar es salaam, ntafanya chochote kwa ajili ya nchi yangu na watu wake.mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika
   
 13. C

  Chumbageni Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata kwa lugha ya kiswahili wamekubali tunaweza kutumia alimradi wachangiaji waongezeke.
   
 14. C

  Chumbageni Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  btw umeona mambo ya leo SSC...kuna vitu vikali.
   
 15. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  vitu vikali kinoma, hata mimi jana nimelala vizuri usiku, teh teh. kudos to tanzan
   
 16. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,076
  Likes Received: 1,111
  Trophy Points: 280
  Kwakweli tanzan huwa namsifu sana, picha zake ni bab-kubwa alafu siyo za ku-copy flickr, aliwahi kusema kuwa huwa anatembea na kamera yake na kila anapopata nafasi ya kupata picha nzuri huwa hafanyi makosa.
   
 17. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  yeah, tanzan ni noma, anafanya kazi nzuri sana kwenye section yetu, mwana we haupo bongo?
   
 18. N

  Nanu JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wow!! that is good and great!!
   
 19. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
 20. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
Loading...