Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Ninaunga mkono serikali kujenga hiki kiwanda kama vile nilivyounga mkono ule mradi wa Kamba kule Mafia
mwenye mawazo tofauti aje
mwenye mawazo tofauti aje
Ninaunga mkono serikali kujenga hiki kiwanda kama vile nilivyounga mkono ule mradi wa Kamba kule Mafia
mwenye mawazo tofauti aje
Watu wa enviroment managent wa tanzania washasema kuwa huu mradi hautahathiri mazalio ya framingo na wameusogeza mbali kidogo na ziwa, hao wa kenya wanajua tanzania ikizalisha soda wao wamekosa soko ndo maana wamengangania mpaka leo kuwa una madhara.
kweli niwie radhi maana ile post yangu ya mwanzo ilikuwa imekaa kishari shariAje wapi?
Lengo lisiwe kubishana kwa sababu tu tunatofautiana.
Wewe una mawazo tofauti, lete hoja zako tuzitafakari. Watu wapate mwanga, wachanganue na wahusika wasaidiwe/washauriwe kufanya maamuzi yaliyo sahihi zaidi.
Mchango wako unahitajika haijalishi ni mawazo ya mrengo upi.
Unajua kwa nini Kenya walikuwa wanapinga sana mradi wa reli toka MOSHI kulekea MWANZA?
Tueleze basi kwa nini hao wabaya wetu walipinga sisi kukatiza na treni katikati ya Serengeti? Au unauliza ili kufurahisha jamvi tu?
Tanzania on a mission to wipe out Kenyas flamingoes Flamingos are a major tourism attraction in Kenya. Thousands of tourists visit the Rift Valley lakes of Naivasha, Nakuru and Bogoria to view the pink spectacle of these migratory birds.
Lake Nakuru alone generates some $15 million (about Sh1.05 billion) annually.
BirdLife Africa argues that all the three million Lesser Flamingos in the region, from Djibouti down through Tanzania to Malawi, were hatched at Lake Natron
Tanzania agitates for compensation to developing nations protecting forests
2007-12-07 08:39:01
By Guardian Correspondent, Bali, Indonesia
Tanzania has called for developing countries compensation for protecting forests for the benefit of the international community.
Speaking on reducing emissions agenda from deforestation in developing countries yesterday, the Director of Environment in the Vice President`s Office, Eric Mugurusi said Tanzania supported the position of developing countries to claim compensation.
``We support the position that developing countries providing this global service should be rewarded with the necessary incentives and compensated commensurately,`` he said.
Mugurusi told the gathering at the on-going Conference on Climate Change in Bali, Indonesia that Tanzania incurred costs in protecting forests which conserve carbon mostly produced in industrialized countries.
``Yes, forest carbon provides a tool for mitigating climate change and financing forest conservation,`` he said.
He said for that matter, under climate change, there should be a proper system that would ensure that developing countries were compensated so that local communities living around forest areas also benefited.
``Mr. Chairman, reducing emissions from deforestation by reinforcing protected areas without addressing development dimensions of local communities could be a form of ``protectionism`` through the back door and could re-open decades of discussion on community livelihoods and poverty impacts of protected areas,`` he said.
Mugurusi said the compensation would enable developing countries to acquire modern technologies such as biogas thereby effecting sustainable development.
Delegates at the conference have now started working in groups as part of preparations for the scheduled next Tuesday ministers meeting.
Bwana GAME THEORY kasi yako kubwa, utatuacha njiani.
Binafsi ningependa kusikia zaidi kutoka kwa wanamazingira na watu wa miradi ya maendeleo.
Maghembe anasema, "give us amounts equivalent to cash flows which we would get from the project yearly", obviously we want the damn money, lakini nani kasema hatunazo options kuangalia namna tunavyoweza kufaidika kwa muda mrefu zaidi, bila kuharibu mazingira na bado tukabaki na reserve ya magadi.
Hebu oanisha na taarifa hii,
umesema sawia kabisa mkuu. unajua kuna watu humu ndani wana aibu, wanafiki.huwa hawapendi kuandika/kuongea kile kilichoko moyoni. huwa wanafuata upepo. NASHUKURU wewe kwa kusema toka moyoni. safi sana.
Baada ya Miaka kumi, mwaka 2018:
1. Kiwanda kimesimama baada ya mwekezaji kudai hakilipi kutokana na madai ya mishara mikubwa ya wafanyakazi. Flamingoes tunawaona kwenye post kadi.
2. Ukienda Bagamoyo, unaelezwa kuwa pale ndipo palipokuwa mji mkongwe, na kile kifusi ni mabaki ya iliyokuwa Ikulu ya kwanza Tanzania.
3. Wavuvi Rufiji wameamua kuzamia meli kwa sababu ya ukosefu wa samaki na shrimps. Hii inatokana na serikali kugawa vibali kibao ili waweze kuongeza mapato, kwa meli kutoka Korea, Hispania n.k.
4. Tunaondoa nembo ya mlima Kilimanjaro kwenye matangazo yetu kwa kuhofia kushitakiwa kwa kudanganya public kuwa kuna snow kwenye mlima huo. Wachagga, wapare na wengine wanaoishi maeneo hayo imebidi wahamie kwingine kutokana na ukosefu wa maji (ambao umechangiwa pia na ukataji miti ovyo) na mvua.
5. Hoteli zilizojengwa Ngorongoro na Serengeti zinakosa wateja maana wanyama wametoweka baada kuongezeka idadi ya watu mara dufu, kuchafua mazingira kutokana na kusambaza maji taka katika maji wanayotegemea. Kutua kwa ndege kila wakati na ujenzi unaoendelea wa reli kwenda Musoma umekata migration route ya wildebeasts!
6. Serikali imeunda kamati kuchunguza kwa nini vifo vinaongezeka katika maeneo ya migodi ya dhahabu. Serikali inafikiria vile vile kuwashitaki wawekezaji katika sekta hii baada ya wao kukataa kufukia mashimo waliyoyaacha na kusafisha ardhi iliyojaa sumu iliyotakana na shughuli zao.
7. Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Kidzogolae anawakumbusha wananchi kuwa wasingejua Lexus ni nini bila hiyo miradi! Anawakumbusha vile vile jinsi walivyonufaika kwa kula mizoga ya hao ndege.! Amewahakikishia tena kuwa kuna mpango wa kuingiza mashine ya kutengeneza snow kama zilizoko ulaya na kuiweka katika mlima Kilimanjaro na kuwakata ngebe waliopinga wote miradi hii, mashine nyingine itawekwa kwenye mlima Meru! Wafanyabiashara wote wanaotaka kuweka matangazo yao kwenye hizi mashine wanakaribishwa maana ndio soko huria, baba! Likitolewa dau la kutosha hata majina ya hiyo milima tunaweza kuigeuza kwa kuongeza jina la mfadhili k.m. Mlima Salama Kilimanjaro-Coca Cola, Mlima Salama Meru n.k.
Serikali imetangaza nia ya kwenda nchi za ulaya kudai mali asili zao walizoibiwa maana kila mmoja anajua kuwa lesser flamingoes karibu wote walitokea Lake Natron. Wana matumaini makubwa ya kulipwa kompesesheni nzito maana hakuna mtu aliyewashauri vizuri wakati wa kujenga kiwanda!
mtindo wa kusema sisi tujitese kwasasaivi ili vizazi vya baadae vije viburidike, hio haipo.
Mradi huu endelee...na tukimaliza huu tuendelee na ule wa reli toka Moshi kwenda Mwanza tukimaliza tujenge airport ya kisasa kule Bagamoyo, tukimaliza tujenge highways za maana nyanda za juu tukimaliza tujenge Pemba ...yaani sisi tusiwasikilize hawa wendawazimu wanaopenda sana wanyama kuliko Binadamu
Bt the way nadhani kungekuwa na umuhimu wa kupanua ule mradi wa Kamba kule MAFIA
GAME THEORY said:Uchumi wetu wa watu milioni 40 unaweza ukawa wa maana zaidi kuliko tutegemea huo utalii
Sidhani kwamba hiki ndicho kinachotokea.
Where did you get that impression?
We want to prevent the extinction of those flamingos for our benefit mainly, not just bird's.
Only if you knew how much and how many of the locals do benefit from tourism.
Nazungumzia faida wanayopata wazawa moja kwa moja, achilia mbali pato linaloingia serikalini.