Tanzania says Total close to signing exploration agreement for Oil and Gas in Lake Tanganyika

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Thu Sep 6, 2012 1:42pm GMT
http://af.reuters.com/article/tanzaniaNews/idAFL6E8K6D6W20120906
DAR ES SALAAM, Sept 6 (Reuters) - French oil major Total is close to signing a deal to explore for oil and gas in Tanzania's Lake Tanganyika, a senior Tanzanian petroleum official said on Thursday.

Total won a bidding round against eight other companies in August 2011 to explore the block but has been unable to do any work in the area while it discussed terms of a production sharing agreement (PSA) with the government.

"Total is in the very late stages of negotiation," Meshack Kagya, senior principal petroleum geochemist at the state-run Tanzania Petroleum Development Corp., told a gas conference.

Tanzania, east Africa's second-biggest economy, became a player in energy this year with several onshore and offshore gas finds, attracting multinational explorers to the area.

The country reportedly has about 30 trillion cubic feet of gas, which could make it a major energy exporter.

Total's PSA
application is one of six the government is currently processing for companies. Two PSAs are for onshore blocks, and the others are for deep sea exploration spots.

Lake Tanganyika, where Total's new exploration area lies, sits on the western border of Tanzania and the eastern border of the Democratic Republic of the Congo.

Bodies of water that sit on onshore borders have been notoriously hard to explore as disputes over who owns the resources beneath lakes and rivers often erupt between countries.

In July, Tanzanian authorities asked UK explorer Surestream Petroleum, which Malawi authorities had licensed, to stop drilling on Lake Malawi. That dispute is ongoing.

Kagya said Tanzania was hoping to make more exploration blocks available soon, though he acknowledged it would take time. A licensing round that was supposed to take place in Houston, Texas this month was delayed and will be rescheduled in the near future.

"It has been delayed for some technical and housekeeping reasons," he said. (Reporting by Kelly Gliblom; Editing by Yara Bayoumy and Jane Baird)

TOTAL inaingia MKATABA ina Maana OIL na GAS lazima zitapatikana na kama ni hivyo MACHO YA CCM yooote yako kwenye hizo

$$$$ Wataua yoyote ile waishike NCHI TENA 2015 NO MATTER WHAT... Mama Salma anagombea NEC; Ridhwani anagombea NEC;

yaani Kikwete's ndani... Ina Maana watahakikisha Rais anakuwa Mrengo wao; NDIO MAANA wametuletea UDINI na UKABILA ili

watugawanye waendelee kutawala...
 
The lake is in Tanzania- Kigoma, the licensing round was to take place in Houston? What is the matter with those rounds been done in Tanzania. Is this not close to other closely related procedures that were done in UK some years ago that ended up in contract sign?

Tunapaswa kuona thamani ya vyetu, wenye shida waje kwetu wazungumzie hapa hapa, watie sahihi hapa, na fedha ziingiziwe hapa. Shida ninini hata tuone fahari kwenda huko, au ni hizo p/diem?
 
Yaani bidding ya blocks inafanyika huston taxes kwa nini zisifanyike dar au kigoma. It is time to get rid off mr kilagane, huyu jamaa hafai kabisa pale tpdc
 
Yaani bidding ya blocks inafanyika huston taxes kwa nini zisifanyike dar au kigoma. It is time to get rid off mr kilagane, huyu jamaa hafai kabisa pale tpdc
Wafaransa si watu wa kuamini sana, ndio wanaoongoza kula rushwa ktk selikali za francofone huko africa magaribi...mnakumbuka ile rushwa gadafi alimpa sakoz......i hope hii haitatokea na hapa...hata hivyo, uwepo wa TOTAL ni kitu cha kujivunia katika exploration hii, cha muhimu ni tupate mafuta tuanze kuchimba, mengine hayo yatajileta yenyewe hasa pale chadema tutakapochukua nchi, watakuwa wametutafutia mafuta na sisi tumechukua nchi na kufichua machafu yaliyokuwa yakitendeka na kuwapora kila kitu....unajua wakati mwingine ukiwa kwenye machimbo ya dhahabu, mtu akiingilia kitalu chako, unaweza kumwacha tu unasubiri achimbe akipata tu dhahabu unaenda kumnyang'anya kwasababu ni mwizi.
 
TOTAL wana historia chafu sana huko Francophone Africa.

No wonder the Norwegians are standoffish.
 
TOTAL inaingia MKATABA ina Maana OIL na GAS lazima zitapatikana na kama ni hivyo MACHO YA CCM yooote yako kwenye hizo

$$$$ Wataua yoyote ile waishike NCHI TENA 2015 NO MATTER WHAT... Mama Salma anagombea NEC; Ridhwani anagombea NEC;

yaani Kikwete's ndani... Ina Maana watahakikisha Rais anakuwa Mrengo wao; NDIO MAANA wametuletea UDINI na UKABILA ili

watugawanye waendelee kutawala...

Mzee Mbowe alikuwa na disko na Mwanawe hana?
 
Mzee Mbowe alikuwa na disko na Mwanawe hana?

aseeee. .. . Baba dhaifu, na mtoto dhaifu.
Nyanya chungu, justification ya kukosa nyama.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1346951922457.jpg
    uploadfromtaptalk1346951922457.jpg
    5.3 KB · Views: 30
We should not invent the wheel as far as dealing with GAS CONTRACTS is concerned; we can borrow a leaf from the experiences of countries such as Norway and Qatar which have successfully exploited their gas resources for the benefit of their countries. Hii serikali dhaifu ya magamba isifanye haraka kuingia mikataba mibovu itakayoifilisi nchi yetu!!
 
Mzee Mbowe alikuwa na disko na Mwanawe hana?

Yeah Bar na Disco na wakati huo Jumapili baada ya Saa Nane kila baa Hufungwa... lakini ya Mzee Mbowe inaachwa wazi sababu

alimsaidia Mwl. Nyerere pesa Wakati wa UHURU polisi hawakuwa wanakaribia pale MBOWE -- MWANAMAPINDUZI SIO

FISADI...
 
TOTAL wana historia chafu sana huko Francophone Africa.

No wonder the Norwegians are standoffish.
Lakini (TOTAL) bado wamewekeza nchi nyingi tu Duniani kuanzia Marekani mpaka Ulaya na wanalipa kodi na watu wanapata kazi wanachangia maendeleo ya Kiuchumi katika nchi husika!

Tatizo hapa ninaloliona sio TOTAL tatizo ni sisi na Serikali yetu tunashindwa kusimamia rasilimali zetu na kuhakikisha zinatunufaisha, TOTAL ni wafanyabiashara kama walivyo wafanyabiashara wengi wakiwamo Watanzania wanatafuta upenyo wa kutengeneza faida zaidi na hayo maskando ya TOTAL ukiangalia hakuna hata kampuni moja ya Mafuta kubwa Duniani ikiwemo Staoil ambayo haina maskando kwa hiyo hapa wakulaumu ni sisi wenyewe ndio tunaopaswa kujipanga!
 
The lake is in Tanzania- Kigoma, the licensing round was to take place in Houston? What is the matter with those rounds been done in Tanzania. Is this not close to other closely related procedures that were done in UK some years ago that ended up in contract sign?

Tunapaswa kuona thamani ya vyetu, wenye shida waje kwetu wazungumzie hapa hapa, watie sahihi hapa, na fedha ziingiziwe hapa. Shida ninini hata tuone fahari kwenda huko, au ni hizo p/diem?

Umenena vyema
 
Aisee brother ninatumia simu hapa ningukuwa kwa PC ningekupa like. Umepita mulemuke.
 
Wafaransa si watu wa kuamini sana, ndio wanaoongoza kula rushwa ktk selikali za francofone huko africa magaribi...mnakumbuka ile rushwa gadafi alimpa sakoz......i hope hii haitatokea na hapa...hata hivyo, uwepo wa TOTAL ni kitu cha kujivunia katika exploration hii, cha muhimu ni tupate mafuta tuanze kuchimba, mengine hayo yatajileta yenyewe hasa pale chadema tutakapochukua nchi, watakuwa wametutafutia mafuta na sisi tumechukua nchi na kufichua machafu yaliyokuwa yakitendeka na kuwapora kila kitu....unajua wakati mwingine ukiwa kwenye machimbo ya dhahabu, mtu akiingilia kitalu chako, unaweza kumwacha tu unasubiri achimbe akipata tu dhahabu unaenda kumnyang'anya kwasababu ni mwizi.

Unaweza labda kufafanua kidogo manake ni kama ume singleout Mfaransa kwamba sio mtu wa kumwamini Je ni nani wa kumwamini?

Yeah Bar na Disco na wakati huo Jumapili baada ya Saa Nane kila baa Hufungwa... lakini ya Mzee Mbowe inaachwa wazi sababu

alimsaidia Mwl. Nyerere pesa Wakati wa UHURU polisi hawakuwa wanakaribia pale MBOWE -- MWANAMAPINDUZI SIO

FISADI...

Hukumsikia Wassira Jangwani?
 
Siwaamini na SIWAPENDI sana Wafaransa.

Jana nilikuwa naangalia jinsi wanavyouwa na kutisha watu huko NIGERIA - DELTA.

Mtashangaa sasa hivi sehemu fulani zinajengwa na watu kadhaa wanafaidika na wengine wanabaki hoi.

Ni mijitu mibaya sana ya kutumia DEVIDE AND RULE - Gawanya Uwatawale.
 
Back
Top Bottom