Tanzania Safari Channel inasikitisha!

Verifier

JF-Expert Member
Aug 14, 2019
457
1,503
Kama sikosei hii channel ilianzishwa kwa juhudi za Waziri Mkuu ili kukuza utalii lakini ni ya hovyo isiyo na weredi wa aina yoyote.

Jana nilikuwa naitazama haina mvuto kwani muda mwingi unapotezwa katika matukio yasiyo na tija wala mvuto. Ingependeza kama wizara ingetafuta watu wenye ujuzi na weredi wa kutengeneza ili hata wasiojua Kiswahili waweze kufuatilia.
 
Wewe na Tanzania Safari hamna tofauti vitu vyenu ni hovyo na visivyoeleweka.

Unalalamikia nini hasa?
 
Ingeanza kuonesha ziara na matukio ya Magufuli ingebamba sana kama yule ndugu yake TBC1.
Wahusika wajiongeze waanze kurusha live ziara za Magufuli, akiapisha na kutengua, akimkejeli mama aliyechagua upinzani Momba na akichagua nyama za porini
 
Back
Top Bottom