Tanzania 's ways to bend bend bonds ... (Abdulkadir Harabnasur)

[h=1]10.Türkçe Olympics Ringtones TRT HD Final-Moldova-Tanzania-[/h]
 
Last edited by a moderator:
Kijana Abdulkadir Harabnasur Muwakishi wa Tanzania Sherehe za Turkish Olympics final zilizofanyika Mjini istanbul nchini Uturuki mwanzoni mwa mwaka huu 2013.
MziziMkavu, hivi huyu ni Mmatumbi kweli kama sie?
 
Last edited by a moderator:
Nyimbo ya Dudu Dudu Muimbaji ni Munir Abdu toka Tanzania.

Mzizi Mkavu mbona mnatuchanganya, maana kuna mtu alianzisha thread siku chache zilizopita akatuambia huyo mtoto ni Mturuki na akasema kwenye huo wimbo anasema Mbuga ya serengeti ipo Kenya, leo wewe unasema ni mtanzania.Tumuamini nani sasa????
 
Last edited by a moderator:
Mzizi Mkavu mbona mnatuchanganya, maana kuna mtu alianzisha thread siku chache zilizopita akatuambia huyo mtoto ni Mturuki na akasema kwenye huo wimbo anasema Mbuga ya serengeti ipo Kenya, leo wewe unasema ni mtanzania.Tumuamini nani sasa????
Mkuu Mnyamwezi wa Urambo .huyu ni M-Tanzania anaitwa Munir Abdu sio M-turuki.
 
Last edited by a moderator:
Sasa inakuwaje tena anasema Serengeti ipo Kenya? Yaani kuna watanzania ambao hawajui mbuga ya serengeti ilipo?
Mkuu Mnyamwezi wa Urambo Hajasema kuwa Serengeti ipo Kenya. Kama atakuwa kasema Serengeti ipo Kenya kweli Serengeti ipo Mpaka wa Kenya na Tanzania lakini kwa Tanzania serengeti ni kubwa kwa Asailimia 80% kwa Kenya ipo Serengeti kwa asailimia 20%. Kama ilivyo Mlima wa Kilimanjaro Kenya pia upo na Tanzania pia upo Mkuu angalia Ramani bonyeza hapa https://maps.google.com/maps?hl=en&...ngeti&ei=sfjvUaaeLebE4gTqiIDICA&ved=0CJ0BELYD

mt_kilimanjaro_122006.jpg
10px-Red_triangle_with_thick_white_border.svg.png

​

Tanzania Mlima kilimanjaro.​
 
Mkuu hebu fuatilia huu uzi uone mdau aliyetuwekea tafsiri ya kiingereza ya huo wimbo halafu utuelimishe vizuri na wewe.

https://www.jamiiforums.com/habari-...89-aliambiwa-na-nani-serengeti-iko-kenya.html
 
Kijana Abdulkadir Harabnasur Muwakishi wa Tanzania Sherehe za Turkish Olympics final zilizofanyika Mjini istanbul nchini Uturuki mwanzoni mwa mwaka huu 2013.
MziziMkavu, hivi huyu ni Mmatumbi kweli kama sie?
Ni mmatumbi huyo kama sisi, kuna wamatumbi kibao waimbaji wazuri sana tu wa kiarabu...
Anaimba vizuri ee!!
Chezea wabongo weye kwa sanaa....tumerithi from baba wa taifa
 
Mkuu hebu fuatilia huu uzi uone mdau aliyetuwekea tafsiri ya kiingereza ya huo wimbo halafu utuelimishe vizuri na wewe.

https://www.jamiiforums.com/habari-...89-aliambiwa-na-nani-serengeti-iko-kenya.html
Wakenya waitangaza Serengeti ni ya kwao sio mbaya kwani Kenya ,Uganda na Tanzania enzi za zamani ilikuwa ni chi moja tu East Africa Washenzi Waingereza ndio waliokuja kutuwekea mambo ya mipaka.cc Mnyamwezi wa Urambo

[h=1]11 Turkish Olympics final song (All)[/h]
 
Last edited by a moderator:
Ni mmatumbi huyo kama sisi, kuna wamatumbi kibao waimbaji wazuri sana tu wa kiarabu...
Anaimba vizuri ee!!
Chezea wabongo weye kwa sanaa....tumerithi from baba wa taifa

Sana, nimempenda sana.
Kama una contact zake nipatie.:wave::wave::wave:
 
Back
Top Bottom