Tanzania Rejects New Japanese Ambassador | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Rejects New Japanese Ambassador

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoto wa Mkulima, Dec 10, 2007.

 1. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Tanzania has rejected a newly appointed Japanese ambassador to the country. The Tanzanian Permanent Secretary in the president's office sent a refutation letter to the Japanese Prime Minister early today. In the brief letter, the Permanent Secretary expressed his apology that the newly appointed ambassador will not be allowed to take the post in Tanzania due to the contradictions that were best not published because of the repercussions that will be caused in the Swahili speaking society.

  However, The Permanent Secretary added that the issue should not be taken as a personal matter and that the ambassador will be allowed to serve the post in Tanzania if he did something about the problem. The ambassador Takouchi Kumamoto and his wife Kunyamavi Kayashika were expected to arrive in Dar es Salaam this weekend. We have also been reliably informed that their son's name is Takonono Shikakende. Their daughter is called Nikishuta Nitahara.
   
 2. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Haaa...hii Kali!!....Kweli Kuna Magugu hapa JF..Kama ni kweli..hatuna haja ya Kukataa lolote..Hayo ni Majina tu...
  Utakua ni ujinga Kukataaa..
   
 3. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  Mkuu Gigo hii ni joke si kweli mbona unataka kuliweka liwe la kisiasa hasa
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2007
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mhhhh hayo majina!Yaani familia nzima majina mabovu? Bado natafakari hilo si unajua WaTz tunavyodanganya?
   
 5. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2007
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kweeli kweeli!! Kuna vyuo ukisoma huko Japani utaogopa kumwonyesha mtu cheti chako.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Dec 11, 2007
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Duh! hii habari inanikumbusha nilipokuwa kule Jamhuri ya watu wa China, wakati nilipokuwa natembea na rafiki yangu mmoja , yeye ni mtu wa Slovakia. Tulikuwa kwenye kitongoji kimoja kinaitwa Zhejiang Shengqi. Nakumbuka tulikuwa tumeingia kwenye duka (Supermarket Mall)yule rafiki yangu alipiga chafya (sneeze), kwa mshangao jamaa wa Kichina aliyekuwa mbele yetu akaitikia akidhani ameitwa na yule jamaa kutoka Slovakia...!
   
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2007
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  The ambassador Takouchi Kumamoto and his wife Kunyamavi Kayashika were expected to arrive in Dar es Salaam this weekend. We have also been reliably informed that their son's name is Takonono Shikakende. Their daughter is called Nikishuta Nitahara.

  MAJINA KIBOKO YA NJIA!nI Vema amekataliwa maana ingekuwa aibu tupu katika mikutano.
   
 8. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ina furahisha...lakini Mimi kwa macho yangu Nilisha ona PIKIPIKI-Ya Kichina Ina itwa JINYEE...Nilitafakari sana..Au wana tu tukana?
  sijui hebu tufanye Utafiti..Vijana Huko Mliko...
  Ya sije Ikawa sanaa na maigizo...si tuna cheka wao nana maliza...

  Sijui Lakini...

  JINYEE Just Imagine!!
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Dec 12, 2007
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbona huko mnakwenda mbali, kwani nani hajui kuwa kuna viatu vinaitwa FILA....?!!! Unajuwa mambo ya Lugha na Majina ya kabila fulani au taifa lingine, Yanaweza kuwa matusi kwa taifa au kabila lingine...! Ndo maana haipendezi kutafsiri majina ya watu? Wakati mwingine hata jinsi ya kutamka baadhi ya majina au vitu inaweza kuleta tafsiri nyingine... Mfano jamaa zangu wa kule Kibosho just mwambie aseme "Nauza Maji Baridi" Kama hakukwambia kuwa Naudha Mafi Baridi...!

  Wakati mwingine inaweza kusomeka sivyo ilivyoandikwa, yaani wahusika wa lugha husika wanatamka tofauti na inavyo andikwa.

  Kama yanatokea haya ni kuvumiliana tu. Mfano kule visiwani kuna sehemu inaitwa Makunduchi sasa mwambie jamaa wa Kiabeshi au Mgunya kama hakutamka sivyo sivyo... Au mwambie aseme Nauza Kofia Nyekundu.... sikiliza vichekesho jinsi anavyo tamka...
   
 10. Gigo

  Gigo JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2007
  Joined: Aug 6, 2006
  Messages: 455
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45

  Bwana mdogo hapa umemaliza kabisaaaaaaa...Tusiwe na shaka ni majina tu na matamshi yake..
   
 11. J

  Jafar JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2007
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Miss Beatrice, the church organist, was in her eighties

  and had never been married. She was admired for her sweetness and kindness to all.

  One afternoon the pastor came to call on her and she showed him into her quaint sitting room. She invited him to have a seat while she prepared tea.

  As he sat facing her old Hammond organ, the young minister noticed a cut-glass bowl sitting on top of it. The bowl was filled with water, and in the water floated, of all things, a condom!

  When she returned with tea and scones, they began to chat.

  The pastor tried to stifle his curiosity about the bowl of water and its strange floater, but soon it got the better of him and He could no longer resist. "Miss Beatrice", he said, "I wonder if you would tell me about this?" pointing to the bowl.

  "Oh, yes," she replied, "Isn't it wonderful? I was walking through the Park a few months ago and I found this little package on the ground.
  The directions said to place it on the organ, keep it wet and that it would prevent the spread of disease.

  Do you know I haven't had the flu all winter."
   
Loading...