Madago
Senior Member
- Feb 7, 2009
- 117
- 9
Kimsingi lazima kuna mtu anatakiwa kuwajibika. Katrina ni natural disaster na upeo wa kuweza kurespond kwa tukio kama lile linaw3za kuwa nje ya uwezo wa uwezo wa kibinadamu. Lakini hili la mabomu lazima mtu anatakiwa awajibishwe. Hebu fikiria kama kungekua na mabomu ya kinyukilia au silaha kali nyingine zaidi watu wangapi wangepoteaza maisha? nafikiri pia idadi ya watu, ati ni "wachache" inaweza kuwa kichocheo cha kutokuona kwamba hili sio janga....lakini ni janga kubwa. Well, lazima kuna kitu behind those bombs, hii siyo hivihivi. Kwa kuspeculate tu kunawezakkuwa na conspiracy theories ndani yake- labda jamaa waliokuwa wanazilinda walikua hawaridhiki na pay so kwa kuwa jeshi ni amri, kuraise fedheha zao ni kulipua...au watu wameiba muda mrefu wakapeleka congo mzigo sasa wakati wa kugakua ukawa umewadia...