Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Yanga kapaki bus hapo kwenye hiyo nafasi kazi kwako mbumbumbu
372a29d9a224065e2424bbe479da517e.jpg
Huo ni msimamo mpaka sasa hivi, ligi bado kabisa. Nawasubiri round ya pili nicheke jinsi mtakavyokuja na plan ya kupaki basi la mwendokasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nyie ni watu wa kusubiria tu. Mlianza kusubiri yanga wacheze mechi za mikoani mkaumbuka na sasa mnasubiria mechi za yanga mzunguko wa pili wa ligi
 
Tulianza ivii

Yanga 2-1 Mtibwa maneno yakawa mengi sanaa

Yanga 4-3 Stand tukaja hapa ohoo muna bahatisha sie kmyaa

Yanga 1-0 Coastal tena apa wakatulia kdg sie kmyaa

Yanga 2-0 Singida tukaja hapa ohoo wote nyie wabovu ngoja mukutane nasie tutakavyo wafunga maana kikisi chetu kipana kila kila sifa sie kmyaa

Yanga 0-0 Simba tukasubili tufungwe lkn aikuwa raisi mwisho wa siku ohoo nyie wachawi yani mpira apo ushamshinda anakimbizia kwenye uchawi wao mutaona mbao watawakalisha walisaau uyo mbao hapa ajawai kupata ata sare

Yanga 2-0 Mbao Fc Et ohoo mbao nao cjui vp walitamani kusema mbao vibonde ila wakaona aibu maana aliwafanya kitu mbaya

Yanga 3-0 Alliance si munashinda hapa hapa dar nyie subiri mutoke

Yanga 1-0 Kmc nyie siwanaume wa dar mukienda mikoani amutoki walisaau kuwa dar nae ni mkoa

Yanga 1-0 Lipuli mwendo kasi aliendi mikoani ye dar tuu sie kmyaaaa tukiwaona wanatusumbua sanaa jibu letu sie kiwanja chochote sie tupo nyumbani

Yanga 1-1 Ndanda ahaaa yani umedro na ndanda kwako kweli yanga amna k2 yani bado kidogo mfungwe yani mukienda mikoani2 amutoki kwa mpira huu sie sawaa

Yanga 2-1 Mwadui mh! Mmebahatisha ngoja kagera watawaonesha nyie wanaume wa dar

Yanga 2-1 Kagera mh! Kimoyo moyo walikuwa wanasema hii sasa sifa adi mikoani munavuruga wakajikaza kdg ngoja Jkt tz watawafundisha adabu

Yanga 3-0 Jkt Tz mama weee alaf wakawa kmyaa

Yanga 3 - 1 Prisons wanatamani kusema yanga inanunua mechi ila wanashindwa waanzie wapi wakati mpka sasaiv kakolanya ayupo na timu kisa mkwanja

Yanga 2-1 Biashara wabovu walikutana

Yanga 3-2 Ruvu ST hii ndio iliwaumiza sanaaaa maana awakutegemea kabisaaa walitamani sare lkn kitambaa akikutosha

Yanga 1-0 Africa lyon mmeshinda lkn kwa mbinde kwanza mpira wenyew mbovuu auna ata radha wamesaau yanga wao wanataka point tatu2 ayo mengne ayamuusu ohoo sasa shuhuli yenu inasha mbeya ambukile atawanyazisha maraa ohoo mwambie kocha wenu mukiingia uwanjani awahesabu kabisa wachezaji asije badae anatusumbua watakapofungwa sie kmyaa

Yanga 2-1 Mbeya C hapa sasa kmyaa kilitawala unaweza kusema kuna msiba umu ndani nakuanza kuuliza et liver na arsenal wanacheza saa ngp
Kwa yangaaa inabidi timu zote ziungane wawe kitu kimoja kisha waje kucheza na yanga

*KUMBUKUMBU:

Ukiulizwa Mara ya mwisho yanga kupoteza mchezo kwenye ligi itakubidi useme "HAPO ZAMANI ZA KALE"

By YFW
 
Mmechukua ubingwa? Kwa sasa bingwa ni Simba hiyo ya kuongoza ligi sio ubingwa. Bingwa anayetambulika na dunia yote ni Simba, can you please shut your mouth?

Bingwa ni Simba, that's my summary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom