Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Singida United, Uwanja wa Taifa Dar es salaam

Yaani anapigwa tatu kavu, mbona unashindwa hata kutoa pole. This Is Simba SC

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole niliwapa mlivyolazwa njaa na mashujaa fc kwa kuchapwa 3
fbd7369cb755822411e792640e31188d.jpg
 
Nawapa hongera Mashujaa hawakupaki basi kama Yanga. Wakati Mashujaa wanafunguka kwa Simba Yanga wanamfanya Makambo kuwa beki wakicheza na Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupaki basi kumeleta mafanikiò na inamaanisha ulinzi nibora mpaka sasa team ni unbeaten. Na uyo ànaechezeshwa beki mpaka sasa ana magoli 11 ya kufunga
 
Ndio maana nimewaona Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, vijana wanapasiana mpira na kufunguka kwa Simba wakati Yanga wachezaji wote wamejipanga mstari golini.

Najua hata mechi ijayo mtapaki basi la mwendokasi maana mpira wa kisasa umewashinda kabisa ni kupiga na kukimbia kama leo na Mbeya City

Lazima uwaone mashujaa bòra sababu wamewatungua goli 3 ningeshangaa ungesema sio bora

Yanga oyeee
Mashujaa fc oyeee
Green warriors oyeee
 
Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, kama wao wanakuja na plan ya kuifunga Simba na Yanga anakuja na plan ya kupaki basi kwa Simba hapo timu bora ni Mashujaa na sio Yanga.

Kama unabisha hampaki basi la mwendokasi kwa Simba subiri mechi ijayo. Mnawaogopa Simba kama ukoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashujaa ni bora zaidi kuliko Yanga, kama wao wanakuja na plan ya kuifunga Simba na Yanga anakuja na plan ya kupaki basi kwa Simba hapo timu bora ni Mashujaa na sio Yanga.

Kama unabisha hampaki basi la mwendokasi kwa Simba subiri mechi ijayo. Mnawaogopa Simba kama ukoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga kapaki bus hapo kwenye hiyo nafasi kazi kwako mbumbumbu
372a29d9a224065e2424bbe479da517e.jpg
 
Back
Top Bottom