Tanzania parades new Chinese kit

Mkuu,narudia palepale. Kwa nchi za Africa,wala hatuhitaji long range ballistic missile kwa sasa. Nchi za Africa zote wala hazina maadui wanaotoka masafa marefu! Ni good coordination,suveillance,well trainned bnd discplined army,medium na short range equipments tu ndio zinafaa. Wala usihangaike na show offs.
Kwa technology ya vitu tunavyouziwa 3r world countries wala tusijivune sana, mbona hawaaigizi B52 aircraft?

Kila kitu kina matumizi yake mkuu. Kuna maeneo ya kutumia long range missile na kuna maeneo ya kutumia medium range au short range. Usione North Korea au Russia wanashindana na US kwa long range ballistic missiles,ukadhani pia Tanzania na Malawi nao wanahitaji kushindana kwa vifaa hivyo jua matumizi yake kwanza! Usi cramme. wana
 
du aisee pale uwanjani kulikuwa na watu wako busy kufanya analysis ya nn kitapitishwa ili wapime uwezo wetu kivita aisee nadhani PK na JB walikuwa makini sana kufanya observation hapo
 
haha.. kweli mkuu. mi si askari walahi ukiniuliza jeshi gani ovyo duniani ntakutajiA Nigerian army. na kwa East Africa ntasema KDF. si kwa Westgate peke yake. nilikua Nairobi enzi zile wanapambana na kakikundi ka kabila moja la kas Magharibi.

utacheka.

Just start a fight and let's see who is fooling who. You can't just talk based on plain patriotism and some non existent high level training supported by some Chinese toys. None of these is enough to quarantee you victory. Start the fight and let's see. We shall then know for sure and erase all doubts. Okay boy!
 
Mkuu,narudia palepale. Kwa nchi za Africa,wala hatuhitaji long range ballistic missile kwa sasa. Nchi za Africa zote wala hazina maadui wanaotoka masafa marefu! Ni good coordination,suveillance,well trainned bnd discplined army,medium na short range equipments tu ndio zinafaa. Wala usihangaike na show offs.
Kwa technology ya vitu tunavyouziwa 3r world countries wala tusijivune sana, mbona hawaaigizi B52 aircraft?

Mkuu labda nikukosoe kidogo, actually bombers hizo kuitwa B52 inamaanisha zilihundwa mwaka 1952(au design ya 1952)!! Marubani wanao rusha ndege hizo ni wadogo sana kiumri kuliko ndege zenyewe.
 
Just start a fight and let's see who is fooling who. You can't just talk based on plain patriotism and some non existent high level training supported by some Chinese toys. None of these is enough to quarantee you victory. Start the fight and let's see. We shall then know for sure and erase all doubts. Okay boy!

Eti "non existent high level training" wakati a lagtag Shabaab inawatia jamba jamba Somalia - maneno tu na dhalau za kijinga. Kama Chinese hardware wewe unaona ni toys kwa nini Serikali yenu imekwenda kuwakimbiria Wachina wawasaidie kujenge reli yenu 2 a standard gauge na kuondoa a stone age narrow gauge, majivuno tu hata hela za kujenga reli hamna, Wachina watagharimia ujenzi mzima by 98%, kama wa China watatengeza toys kwa nini mlienda kuomba msaada wa kujengewa a modern Highway sijui inayo toka Nairobi kwenda Thika. Miaka ya nyuma mlikuwa mnawatukana wa China eti wako "behind iron curtains", leo hii you go down on your knees beging Chinese to help YOU. Wewe kweli unaweza kuwa na guts za kuhoji umahili wa Wachina?
 
du aisee pale uwanjani kulikuwa na watu wako busy kufanya analysis ya nn kitapitishwa ili wapime uwezo wetu kivita aisee nadhani PK na JB walikuwa makini sana kufanya observation hapo
Mkuu hawakuonyesha kila kitu, zile zilikuwa mvua za rasha rasha - wangeongeza za masika EA isingekalika.
 
Eti "non existent high level training" wakati a lagtag Shabaab inawatia jamba jamba Somalia - maneno tu na dhalau za kijinga. Kama Chinese hardware wewe unaona ni toys kwa nini Serikali yenu imekwenda kuwakimbiria Wachina wawasaidie kujenge reli yenu 2 a standard gauge na kuondoa a stone age narrow gauge, majivuno tu hata hela za kujenga reli hamna, Wachina watagharimia ujenzi mzima by 98%, kama wa China watatengeza toys kwa nini mlienda kuomba msaada wa kujengewa a modern Highway sijui inayo toka Nairobi kwenda Thika. Miaka ya nyuma mlikuwa mnawatukana wa China eti wako "behind iron curtains", leo hii you go down on your knees beging Chinese to help YOU. Wewe kweli unaweza kuwa na guts za kuhoji umahili wa Wachina?

Just look at what some of your friends are posting. If you respect others you also earn some respect in return. When some of you dismiss other countries forces as if you are themselves the world's superpower then we are bound to respond this way. If you guys really feel that great with your military then just go a head and invade us. Only then shall we know the full value of your force. Come on roll your tanks over.
 
Sidhani kamaa hizo siliha zina maana yoyote katika kuondoa lindi la umaskini wetu huu...
Wangeonyesha rada zinazoweza kukamata wezi wetu wa pesa za escrow account au zenye kuona polisi wakivusha meno ya tembo ya vizibiti ningewaona wako straegic sana....maana adui yetu mkubwa si nchi za jirani yetu bali wezi na wabarifu walioajiriwa na umma!!!!
 
Just look at what some of your friends are posting. If you respect others you also earn some respect in return. When some of you dismiss other countries forces as if you are themselves the world's superpower then we are bound to respond this way. If you guys really feel that great with your military then just go a head and invade us. Only then shall we know the full value of your force. Come on roll your tanks over.

Nawewe unaona umeandika? Kwani huyo ni president? Unafikiri kuvamia nchi ni kama kuingia chooni? Acheni utoto

The king.
 
Exactly mkuu. Kwa hapa East Africa wala tusitambiane sanaaa! Inategemea trainings za vijana wako hasa zimetokea wapi and ofcourse their ability to master the drills. Nadhani umeshasikia kila nchi zina makomandoo au special forces. Lakini nchi nyingine ni kali kwenye hiyo fani eg US,Russia,Israel,China,Tanzania(baadhi wata doubt)etc na nyingine ndio hivyohivyo wanaishia kuiba mikate na maji!

haha.. kweli mkuu. mi si askari walahi ukiniuliza jeshi gani ovyo duniani ntakutajiA Nigerian army. na kwa East Africa ntasema KDF. si kwa Westgate peke yake. nilikua Nairobi enzi zile wanapambana na kakikundi ka kabila moja la kas Magharibi.

utacheka.

oya, em waacheni wakenya wapumue.... they have enough problems without this hullabaloo!
 
Nimeamini dunia itakuwa na amani kama itatawaliwa na wanawake ....nimeisoma hii idea juzi kati....

Maana naona hapa kaka zangu mna midadi utasema hayo ni matoyi kumbe matoa roho
Ila wasiwe tu na akili na roho kama za yule mama aliyemlea mtoto wa marehemu dada yake kwenye boksi bila lishe ya wala huduma za maana kwa miaka minne.
 
Back
Top Bottom