Tanzania parades new Chinese kit

Tanzania parades new Chinese kit

Nadhani sasa mtaelewa kwa nini serikali ina tatizo kubwa na deni.

Duh! Nashangaa kuna watu mnapenda vita ni balaa! Nadhani mmezoe kuangalia sinema za aina ya Rambo na Commando, mnadhani vita ndivyo inavyokuwa.

Kwa taarifa yenu katika vita yeyote wanaoumia sana ni raia, na hasa wanawake na watoto.

Kazi ya jeshi ni nini? Kama sio kujilinda?
 
Kweli vita ni mbaya sana,si vizuri kuwa mchokozi na wengi wetu hatupendi mambo hayo. Lakini kwa mfano anatokea rais chizi jirani yetu,anavamia sehemu ya aldhi yetu na kuuwa wananchi wetu na kutangaza kwamba eneo hilo ni lake. Utafanyaje?

ndio mana nikamwomba Mungu na nazidi kumwomba utisho wake ututangulie na adui zetu wote wadondoshwe mbele yetu, wasiikaribie mipaka ya nchi yetu. sote tuseme Ameen
 
Mkuu hoja yako wenzio walishafanyia kazi siku nyingi. Hizo Type63A Tanks zina Ant-Tank Guided Missile(ATGPM). Pamoja na mengıneyo, Zina uwezo wa kukimbia ndani ya maji mpaka 30km/h,zina night vision,zina vifaa maalum vya kuzuia isiyumbishwe majini ili i hit target hata ikipiga kombora ikiwa majini. Ki u jumla wewe unawaza ki lay man,lakini wenzio wanakuna kichwa kwenye R&D na wanatoka na kitu kinachoeleweka. Hizo amphibious ndio zinatamba kwa medani ya kısasa. You can fhnd them ın Russıa,Chına,US and other more advanced
Kijana vita ya sasa inapiganwa kwa technology haswa kutumia longrange misile na aircraft.
 
mmmmmh!!!!!!!!!!

vita ni mbaya sana kaka yangu mie huwa sitamani wala siombei vita ukitaka kuamini haya uliza watu wa burundi, rwanda ama congo
Ni kweli dada angu tuombee visitokee. Lakini bora hivi tulivyojipanga hata tukivamiwa tunakuwa tuko fiti si ndiyo? au unasemaje?
 
Sawa na kwako waweza jenga ukuta mkubwa na geti na milango na madirisha ya grill,lakini bado binti yako akatiwa mimba. Utauliza mbona vitu hivyo havikuzuia mkuu! Kila chombo cha ulinzi kina kazi yake. Cha muhimu ni kufuatilia na kubana chombo kilichozembea.

Well answered mkuu!!!! Watu tumezidi kuweka mzaha hata ktk serious discussions
 
Swat, I see the target in your key!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu kina matumizi yake mkuu. Kuna maeneo ya kutumia long range missile na kuna maeneo ya kutumia medium range au short range. Usione North Korea au Russia wanashindana na US kwa long range ballistic missiles,ukadhani pia Tanzania na Malawi nao wanahitaji kushindana kwa vifaa hivyo jua matumizi yake kwanza! Usi cramme. wana
Mkuu hoja yako wenzio walishafanyia kazi siku nyingi. Hizo Type63A Tanks zina Ant-Tank Guided Missile(ATGPM). Pamoja na mengıneyo, Zina uwezo wa kukimbia ndani ya maji mpaka 30km/h,zina night vision,zina vifaa maalum vya kuzuia isiyumbishwe majini ili i hit target hata ikipiga kombora ikiwa majini. Ki u jumla wewe unawaza ki lay man,lakini wenzio wanakuna kichwa kwenye R&D na wanatoka na kitu kinachoeleweka. Hizo amphibious ndio zinatamba kwa medani ya kısasa. You can fhnd them ın Russıa,Chına,US and other more advanced
Kijana vita ya sasa inapiganwa kwa technology haswa kutumia longrange misile na aircraft.
 
ndio mana nikamwomba Mungu na nazidi kumwomba utisho wake ututangulie na adui zetu wote wadondoshwe mbele yetu, wasiikaribie mipaka ya nchi yetu. sote tuseme Ameen

Ameeen na ubarikiwe kwa maombi yako mazuri.
 
Hizi tanks ata zikiwa milion km hatuna strong airforce i mean fighter jets and attack copter ni useless unless labda km zitakua kwa ajiri ya waandamanaji na wapinzani..helcopter moja tu inatosha kuziangamiza hiz tanks zaid ya 1000 kwa siku moja..

 
[h=1]Tanzania acquires new amphibious tanks, rockets and other weapons from China[/h]

The Tanzania People's Defence Force (TPDF) has taken delivery of a range of new hardware from China, including Type 63A amphibious tanks, A100 multiple rocket launchers and Type 07PA self-propelled mortars.

According to IHS Janes Defence Weekly, the new equipment, which was quietly acquired from China over the past few years, was unveiled at the 50th Tanzanian independence anniversary celebrations which were held at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam on April 25.

Photographs reveal that the TPDF now operates the Type 63A, an amphibious tank armed with a 105 mm rifled gun. Built out of welded steel armour, the Type 63A weighs 22 tonnes and carries a crew of four comprising the commander, the driver, the gunner and the loader. Maximum speed is 75 km/h on land and 28 km/h on water. Its maximum operational ranges are 400 km on land and 120 km on water.

The A100 multiple rocket system is a 300 mm rocket launcher with a range of 40 km and 120 km. The warhead can contain 500 High Explosive Fragmentation, Anti-Armour/Personnel sub-munitions. The system is mounted on a TAS5380 8x8 wheeled truck chassis-based launch vehicle. It can carry up to 10 launcher tubes mounted on the chassis and arranged in two blocks of tubes with four on top and six at the bottom. The vehicle has a maximum speed of 60km/h and top range of 650km. Tanzania apparently acquired the system in 2009.

According to Janes, Tanzania is believed to be the first operator of the Type 07PA 120 mm mortar, which can be used as a mortar or howitzer to deliver direct or indirect fire. It uses rifled rounds and has a maximum fire range of 9.5 km. The system, which is operated by a crew of four which includes the commander, driver, gunner and loader, carries 30 rounds of ammunition.

Tanzania also operates the FB-6A mobile short-range air defence system which uses a Humvee copy (Shenyang SFQ2040) each with eight FN-6 surface-to-air missiles with a range of 5.5 km. A radar is carried by a separate vehicle. Other weapons revealed to be in service with Tanzania include WZ 551 armoured personnel carriers fitted with 12.7 and 7.62 mm machineguns in an enclosed turret.

Tanzanian defence minister Shamsi Nahodha said the military acquisition programme is in line with the country's desire to secure its newly-found petroleum resources and enhance its capacity to defend its maritime borders. The TPDF has over the years strengthened its defence relations with the Chinese People's Liberation Army (PLA) with the PLA running various training programmes to improve the operational capabilities of the naval, aerial and land forces.

The healthy nature of the diplomatic relationship between the two countries was emphasised by Chinese President Xi Jinping who visited Tanzania on his first visit to Africa. The Chinese premier signed 16 assorted trade and development deals including the construction of a deep-water port at the port of Bagamoyo, which military analysts say can be used a re-supply base as the resurgent Chinese Navy expands global operations.

According to the Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI), Tanzania has taken delivery of a variety of Chinese equipment over the last decade including two Y-8 transport aircraft in 2003, four ZFB-05 armoured personnel carriers in 2006/7, 30 Type-59G tanks in 2011/13, 14 F-7MG fighters in 2009/12, six K-8 jet trainers in 2011/12 and ten WZ-551 APCS in 2011/12.

Tanzania also acquired five Casspirs from South Africa in 2009, four Bell 412s from Italy in 2005/6 and a Shorts 330 transport in 2006, according to SIPRI data.


[h=3]READ MORE[/h]EUCAP Nestor provides training and equipment to Seychelles, Djibouti and Tanzania
Tanzania People's Defence Force
Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets
Tanzanian military receives Indian vehicles
 
300px-Pakistani_Chengdu_J-7.JPG


Mkuu binary TPDF wanazo jet fighter 14 aina ya J - 7G nadhani tunajitahidi hasa ukitilia maanani uchumi wetu bado duni.


source please!
 
Wekezeni kwenye ELIMU kuliko hizo siso mtapata kila kitu na ziada!
 
IHS Jane's 360

asante mkuu, ingawa baada ya kuisoma hiyo habari ya JDW nimekuta
waliiandika kwa kuangalia tu ndege, vifaru na magari kwenye maonesho ya miaka 50.

waandishi wetu mambumbumbu kabisa stori kubwa hivi imepita machoni pao mchana kweupe hawakuiona....
mpaka aje mtu kutoka uingereza kuisema.

hapa tanzania waandishi ni kama hamna vile...
 
Kwa technology ya vitu tunavyouziwa 3r world countries wala tusijivune sana, mbona hawaaigizi B52 aircraft?

Kila kitu kina matumizi yake mkuu. Kuna maeneo ya kutumia long range missile na kuna maeneo ya kutumia medium range au short range. Usione North Korea au Russia wanashindana na US kwa long range ballistic missiles,ukadhani pia Tanzania na Malawi nao wanahitaji kushindana kwa vifaa hivyo jua matumizi yake kwanza! Usi cramme. wana
 
Back
Top Bottom