Tanzania parades new Chinese kit

Tanzania parades new Chinese kit

hadi hapa... umemanisha hakina superior hapa EA.

zaidi inategemea mikakati na ujuzi wa makamanda husika.

sasa nawaza tena. wapi kuna training nzuri.. tena za anga maama karne hii. anga ndo muhimu zaidi.

Exactly mkuu. Kwa hapa East Africa wala tusitambiane sanaaa! Inategemea trainings za vijana wako hasa zimetokea wapi and ofcourse their ability to master the drills. Nadhani umeshasikia kila nchi zina makomandoo au special forces. Lakini nchi nyingine ni kali kwenye hiyo fani eg US,Russia,Israel,China,Tanzania(baadhi wata doubt)etc na nyingine ndio hivyohivyo wanaishia kuiba mikate na maji!
 
haha.. kweli mkuu. mi si askari walahi ukiniuliza jeshi gani ovyo duniani ntakutajiA Nigerian army. na kwa East Africa ntasema KDF. si kwa Westgate peke yake. nilikua Nairobi enzi zile wanapambana na kakikundi ka kabila moja la kas Magharibi.

utacheka.
 
ha ha ha.Mi sijataja nchi mkuu. Ila vitu muhimu vya kwanza kwa nchi yeyote duniani kuwa na jeshi imara ni ujuzi,uzalendo,nidhamu na uadilifu. Vikikosekana hivyo hata uwe na vifaa gani watakuadhiri watoto wadogo tu.
 
Nimependa hapo kwenye uzalendo na nidhamu...jeshi letu nalipa salute...si kina mwafulani; kusikia general kakimbia nchi ni kitu normal....

Tuendelee kuwapenda na kuwaenzi wanajeshi wetu; wanatulindia heshima....

ha ha ha.Mi sijataja nchi mkuu. Ila vitu muhimu vya kwanza kwa nchi yeyote duniani kuwa na jeshi imara ni ujuzi,uzalendo,nidhamu na uadilifu. Vikikosekana hivyo hata uwe na vifaa gani watakuadhiri watoto wadogo tu.
 
Rada kuiweka hivyo labda ikae baharini na imulike baharini tu kumbuuka kama ni ground kuna relief features kama milima nk kwahiyo labda uweke Rada Mount Kilimanjaro kwa dhumuni la kuona mbali

Mkuu hata nami nilimsikia mtu mwenye status yake tu. Tena alisema twaweza ona ethiopia,djibout na somalia kisha zunguka kwenye hiyo 'radius'Sina uhakika sana na hii type kama tunayo,ila niliona niweke hapa hoja ya huyo jamaa ili tutanuane mawazo. Ila Iran wako kwenye stages za mwisho mwisho kutengeneza radar yao itakayo angalia umbali wa kilomita 3000. Rada zao za nyuma zilikua zinaona mpaka kilomita 400. Sasa nimewaza,umbali wa angani toka hapa mpaka Adis Ababa ni kilomita 1760.5 na umbali kwa ground (road travel)ni kilomita 2359. Je tukiipata,(au labda tumeshaipata) rada kama hii ya Iran ya kuona km 3000,si tunaweza kuona mpaka hata mbele ya Ethiopia?
 
Nimeamini dunia itakuwa na amani kama itatawaliwa na wanawake....nimeisoma hii idea juzi kati....

Maana naona hapa kaka zangu mna midadi utasema hayo ni matoyi kumbe matoa roho

Wanawake wenyewe kwenye fujo siyo haba. Mambo ya kushika korobani, kumwagia maji ya moto, nk.
 
Umenifanya nifikirie sana...Rada haiitaji kuwa mlimani; tena hizi za kisasa unazikuta ziko chini kabisa....

Zinawezaje kuona mi sijuhi....

Ila niliwahi tembelea airport nikiwa mdogo (study tour) tukaambiwa rada yao inapiga mpaka South Africa...
na wakasema hata Kuku wa jirani (Kipawa those days) walikuwa hawawezi kutaga sababu ya madhara ya nguvu za hiyo radar....nilikuwa mdogo lakini hilo niliondoka nalo....

Afu kuna radar na satellite; hapo pia sijuhi kama zina kzi tofauti....duniani kwa sasa hakuna privacy

Rada kuiweka hivyo labda ikae baharini na imulike baharini tu kumbuuka kama ni ground kuna relief features kama milima nk kwahiyo labda uweke Rada Mount Kilimanjaro kwa dhumuni la kuona mbali
 
Umenifanya nifikirie sana...Rada haiitaji kuwa mlimani; tena hizi za kisasa unazikuta ziko chini kabisa....

Zinawezaje kuona mi sijuhi....

Ila niliwahi tembelea airport nikiwa mdogo (study tour) tukaambiwa rada yao inapiga mpaka South Africa...
na wakasema hata Kuku wa jirani (Kipawa those days) walikuwa hawawezi kutaga sababu ya madhara ya nguvu za hiyo radar....nilikuwa mdogo lakini hilo niliondoka nalo....

Afu kuna radar na satellite; hapo pia sijuhi kama zina kzi tofauti....duniani kwa sasa hakuna privacy

Nyumba kubwa utakuwa ulikutana na Mzaramo Halisi hapo Airport. Hizo Radar hazina Radiation Leak ya kiasi hicho,infact kama zingekuwa na "wavelength" kubwa kiasi hicho, kiasi cha kufika hadi kwenye mabanda ya kuku huko Kipawa, basi "nguvu" yake ya kutuma mionzi ingepungua.

Kukufungua macho zaidi, kuku/mayai yanayoliwa dar asilimia kubwa yanatoa kivule,kipawa, kitunda, kipunguni ambako nipua na mdomo na radar facility zilipo.
 
Hiyo Rada gani ya BA system ambayo chenji ilirudishwa? hata Morogoro ilikuwa waiwezi kunasa? Nakumbuka kipindi hicho waliambiwa laiti wangenunua rada ndogo 4 tena kwa bei nafuu kuliko kununua kubwa 1 ya kizamani na kwei ghali

Umenifanya nifikirie sana...Rada haiitaji kuwa mlimani; tena hizi za kisasa unazikuta ziko chini kabisa....

Zinawezaje kuona mi sijuhi....

Ila niliwahi tembelea airport nikiwa mdogo (study tour) tukaambiwa rada yao inapiga mpaka South Africa...
na wakasema hata Kuku wa jirani (Kipawa those days) walikuwa hawawezi kutaga sababu ya madhara ya nguvu za hiyo radar....nilikuwa mdogo lakini hilo niliondoka nalo....

Afu kuna radar na satellite; hapo pia sijuhi kama zina kzi tofauti....duniani kwa sasa hakuna privacy
 
Wakenya wako wapi hapa?? Siwaoni!!

The king.
Wamepewa mgandamizo mkubwa na al shabab. USA kawapiga changa la macho. Wao si wanapenda pesa sana, sasa US aliwaambia atawamwagia mi dola wakakubali kwenda somalia. Sasa hivi wanajuta.............LOL
 
Ni kweli mkuu,tulichofanya miaka ya karibuni ni kuongeza 'macho' yaani rada za kisasa zikiwamo hizo mobile suvillance radar systems. Kuna mtaalamu alisema juzijuzi kwamba kwa kaskazini kwa sasa tunaweza 'kuona' mpaka Ethiopia na Djibout!

Kama hivyo ndivyo, kwa nini tulishindwa ona twiga wakipandaishwa kwenye ndege pale KIA? Au hizi radar haziwi applicable kwenye maliasili zetu?
 
The Tanzania People's Defence Force (TPDF) has taken delivery of a range of new hardware from China, including Type 63A amphibious tanks, A100 multiple rocket launchers and Type 07PA self-propelled mortars.

According to IHS Janes Defence Weekly, the new equipment, which was quietly acquired from China over the past few years, was unveiled at the 50th Tanzanian independence anniversary celebrations which were held at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam on April 25.........

Tanzania acquires new amphibious tanks, rockets and other weapons from China | defenceWeb
 
Kuvukia Ziwa Nyasa na Mto Kagera.........come on Joyce and Paul!

type_63a_l4.jpg

Hizi tanks ata zikiwa milion km hatuna strong airforce i mean fighter jets and attack copter ni useless unless labda km zitakua kwa ajiri ya waandamanaji na wapinzani..helcopter moja tu inatosha kuziangamiza hiz tanks zaid ya 1000 kwa siku moja..
 
Back
Top Bottom