MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 930
- 1,552
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.
Chami - mbunge wa moshi vijijini
bado mnabishana private na government?Sina uhakika kama huwa wanaiba sababu cjawahi waona! labda mwenzetu ututalie kama una ushahidiacha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.
we acha kukurupuka mosh vijjn n jimbo la vunjo ambalo liko chn ya mrema acha ku2danganya cham n ndugu yako?
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.
bado mnabishana private na government?Sina uhakika kama huwa wanaiba sababu cjawahi waona! labda mwenzetu ututalie kama una ushahidi
acha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.
Alikuwa mwanafunzi bora wa mwaka gani?Chami - mbunge wa moshi vijijini
Hivo T.O ndio Tanzania One? :madgrin::madgrin:Nimemkumbuka Mohamed Mwameja, aliwahi kuwa golikipa wa timu ya Simba na timu ya Taifa:glasses-nerdy:.
alafu iweje? aya mimi nlikua t.o wa darasa la nne,niko nako naendeleza kilimo kwanza!Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.
Zamani lilikua jimbo moja kwa jina la Moshi vijijini ila sasa yamekua mawili yaani Moshi vijijini kwa Chami na Vunjo kwa Mrema.