Tanzania ones mitihani ya form six

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
930
1,552
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.
 
acha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.
 
Wale wa Private huwa chali coz hununua mitihani ss huko mbelen ni kiza,,,huwa wanakuja ile semister ndogo ya wiki mbili ambayo haina Boom

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
acha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.
bado mnabishana private na government?Sina uhakika kama huwa wanaiba sababu cjawahi waona! labda mwenzetu ututalie kama una ushahidi
 
we acha kukurupuka mosh vijjn n jimbo la vunjo ambalo liko chn ya mrema acha ku2danganya cham n ndugu yako?

ungekuwa umenijibu mimi ningekutukana hata kama hairuhusiwi.anyway let me help u,kama ilivyo Moshi Mjini-P Ndesamburo, Moshi Vijijini-C Chami, Vunjo-huyo Mrema wako,Hai-F Mbowe, etc etc
 
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.

Emil alikuwa T.O Mawaka 2002 sio 2004!
 
Hivo T.O ndio Tanzania One? :madgrin::madgrin:Nimemkumbuka Mohamed Mwameja, aliwahi kuwa golikipa wa timu ya Simba na timu ya Taifa:glasses-nerdy:.
 
acha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.

Una bifu na Chuo kikuu
 
Zamani lilikua jimbo moja kwa jina la Moshi vijijini ila sasa yamekua mawili yaani Moshi vijijini kwa Chami na Vunjo kwa Mrema.
 
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm mzumbe
zonal engineer wa airtel lindi na mtwara
2.
3.
alafu iweje? aya mimi nlikua t.o wa darasa la nne,niko nako naendeleza kilimo kwanza!
 
Zamani lilikua jimbo moja kwa jina la Moshi vijijini ila sasa yamekua mawili yaani Moshi vijijini kwa Chami na Vunjo kwa Mrema.

Huyo aliembishia mwenzake nadhani anachanganya kati ya Jimbo na Wilaya kwani wilaya moja inaweza kuwa na majimbo mawili yanayojulikana kwa majina tofauti though moja linakuwa linabeba jina la wilaya husika na lingine linaweza kuitwa jina la Tarafa maarufu iliyopo katika jimbo hilo
 
acha uongo,T.O wa mwaka 2004,anaitwa sebastian ernest,alitoka mzumbe Pcm,mara ya mwisho kuckia news zake,nilickia yuko tokyo university..nikwambie tu,hao Ma To tena waliotoka shule za private hawana kitu,kama huamini tembelea chuo kama udsm ambapo majority huwa wapo hapa uone jinsi wanavokuja kufanya supp kila mwaka.

kijana niko na TO wenu yule wa Marian, cjui lecturer wenu but wakwe2 hapa unaambulia 20% tu kwenye Slides pale, the rest ni mwenyewe and boy anahangaikaje(na wenzake). Ntawapa report jake bna after we cmplt xul
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom