Hivi wale ma T.O(Tanzania One) kwenye mitihani ya ya Taifa 2006-2014 wanafanya vitu gani?

Hajamaliza tuu
Kiukweli 2012 aliua six akala scholarship kwenda india sasa sijui system yao ya vyuo iko vp maana najua kwa bongo miaka 5 ni MD harafu una-specialize nini usomee nakumbuka dream yake ni kusomea Neuro system sasa huenda kamaliza MD ndo anakula msuli wa specialization au kala shavu huko huko ..

Ila angerudi huyo lazima tungemuona Ayotv unless mdau mmoja hapo juu kasema wengi huwa wanaingia kitengo maana mule ni papana sana.
 
Back
Top Bottom