Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

Tunaomba utuambie ni njama gani wanazipanga?

Unajua kuwa hata kigwa ni TOT?
Na wapo wengi viongozi wako hata meko yupo Twitter.

You cant escape social media these days.

Mtoto mdogo Usikurupuke , una upeo mdogo sana.
Upeo wako haujafikia hatua ya kujudge wa TOT
Kaa chini utulie,hata mimi ni member Twitter lakini sio TOT.
 
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.

Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali .

Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.

Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.

Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.
Acha kutupotosha, kama wewe unafsidi keki ya taifa kwa sababu tu ni mwanaccm usidhani wote wanafaidi hivyo.
 
Mtakuja kufa kwa stress za kujitakia.
Sasa hao watu wakiisema serikali (kama una ushaidi kuwa wanaipaka matope nchi weka hapa) kwa mabaya ubaya wao uwapi?
Mtakufa mapema nyie watu kwa chuki zakujitafutia.
Mwigeni hata kikwete kwa uuumilivu wa kisiasa!
We unafikiri ni kwanini kila siku anazidi kuwa kijana?
We hujiulizi ni kwanini mwinyi hazeeki?
Hujiulizi ni kwanini mkapa kamwacha mwinyi anadunda?
Na yawezekana hata jk mkamwacha akidunda,nyie tukawachinjia ng'ombe na kuwaolea wajane wenu!
Punguzeni sana kutaka kuogopwa!
Haitawasaidia chochote!
Nakazia 🔨⚒️🛠️🔧
 
Nadhan wameshashukiliwa tayar MBN na wamekir kutenda kosa kuna thread asubh imewekwa inayo hus watu hao
 
Back
Top Bottom