Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,347
Tanzania's traders, policy makers and politicians have expressed their concern with regard to UK Visa being processed in Kenya. Tanzanians and other East Africans wishing to travel to the UK will now have their visa applications processed in Nairobi as part of an overhaul of visa-issuing procedures worldwide. Under the new rules applicants will need to make their request at least six weeks ahead of travel and the British High Commission in Dar es Salaam will no longer be able to issue visas at short notice.

The change comes under the auspices of the new "Hub and Spoke Visa Processing" operation involving the reduction of the number of visa-issuing posts across the globe in order to reduce processing costs. Their main concerns are being directed to UK immigration rules, bureaucracy and a perceived assumption that Africans only travel to the UK with an intention to stay there. They said, the reason why most Tanzanians are being refused the Visa to the UK is still not known, "Tanzanians have been facing many refusal when applying for the UK visa, I do not know the motive behind this," lamented one of the Dar es Salaam residents, Mr. Yasin Abdullah.

East African Business Week thought to collect views from different citizens who have had an experience with Visa application to the UK and Mr. Abdullah, a businessman based in Dar es Salaam, was on of them. He told East African Business Week last week that he has been importing electrical products from various countries "Such a thing has been frustrating me for many years, and to be frank, I do not think there is any day in which I can think of doing business with UK."

The businessman complained that the UK move has been paralyzing trade between the two countries and if efforts to shift UK visa processing to Dar failit will cause loss of trade. Another trader Sule Katto, who has now shifted his businesses to China noted, "I wonder, why UK process our visa in Nairobi while we have a full-fledged embassy here."
He noted, British High Commission in Dar es Salaam is like a postal office, it just receives the documents and post to Nairobi nothing else, this is very embarrassing.

In order to apply for UK visa, Tanzanian nationals should make an initial application on line before presenting their passport and supporting documentation to High Commission officials in Dar es Salaam. The paperwork will then be sent to the Kenyan capital for processing. Successful applicants can expect to receive their visa three weeks thereafter; the whole process takes about six weeks from start to finish.

The business community has said this has been paralyzing trade between Tanzania and the UK. So as to promote trade between the two countries, they asked Britain to rethink and start processing UK visa in Dar es Salaam. "We are aware that Britain's Immigration rules are very complicated but also Kenyans working at the High Commission in Nairobi are another reason behind this refusal," said Mussa Hassan, a Dar es Salaam resident. He noted "I lived in Kenya and, from my experience, most Kenyans are not on good terms with Tanzanians, so I believe this might also be a reason behind these visa refusals."

One of the government officials, who also preferred anonymity, says it doesn't make sense for the UK visa to be processing in Nairobi Kenya while they have fully fledged High Commission in Tanzania.

Source: allAfrica.com: Tanzania Not Happy With UK Visa Processing
 
Katika mambo yanayo humiliate Tanzania ni hili.la.visa za U.K. kuwa processed Kenya.
 
Kwani mnawanganganiza UK wafanye hivyo TZ kwa faida ya nani??? kama hawaoni tija serikali makini huchukua hatua sio aibu na kigugumizi. Hongera UK.
 
Kwa sababu hamtaki kuhalalisha ---- za wanaume ziwe halali - gay business. Hizi ndio sanctions zenyewe msishangae
 
There we go, here is where duo citizenship kicks in.
Mkiwa na watanzania wenye duo, hamta suffer na visa nairobi. Mnatakiwa ku bypass hizi process za visa, otherwise inakula kwenu.
Wasomali hawana bank, lakini kwa vile wako wengi akitaka kutuma somalia pesa, unampa msomali wa hapa pesa yako. Harafu ndugu yako anaenda kuchukua pesa kwa msomali mwingine aliyeko somalia.

Maonalinda masilahi ya taifa kwa uraia mmoja, ni sheria mbovu kabisa kwa sasa, ni sheria ya mwanamalundi na walugaluga wake. Ni sawa na kulinda spectrum ya frequency kwa kutumia analog technology na ukiitupilia mbali digital technology.
 
Sio UK tu nchi nyingi visa mpaka Nairobi, ndo kinaeleweka
 
Nadhani wameibadilishe TENA inakuwa VIGUMU zaidi... Kwa TANGANYIKA wameprivatize OFISI yao ya VISA...

Kwahiyo kutakuwa na independent company working on VISA's requests from BONGO... yaani wanatufanya kama MBWA halafu wanamuita RAIS wetu na Mawaziri wake kudai uroho wa GAS na OIL...
 
Katika mambo yanayo humiliate Tanzania ni hili.la.visa za U.K. kuwa processed Kenya.

Nikichangia uzi mmoja wiki iliyopita nimesema kama hatutastuka na kuwekeza ktk miundombinu na Miji yetu kuacha Ujenzi holela,makelele ya kila aina,uchafu, tutasikia hata Kampuni kubwa zinazo subiri kuvuna Gesi yetu na Mafuta zinaweka Makao yao Makuu Nairobi. Tumeingia ktk Utandawazi lakini tunataka kuendelea kuishi Kiswazi!
 
"most Kenyans are not on good terms with
Tanzanians, so I believe this might also be a
reason behind these visa refusals."

lawmaina78 ,what's the reason behind all this stuff.why you kenyans hate us?.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni unyanyasaji na dharau.
Na hii ni kwa sababu ya njaa yetu watanzania. Othereise na sisi tulitakiwa tufanye kama wao..ukitaka kuja Tanzania ufanye aoolication Brussels ubelgi. Tusitoe visa airport.
Haizuru tutakosa vijitalii njas vya UK lakini watabadilisha system kwa na wao wanataka gas na mafuta yetu. Lakini tupo dhof lhali na viongozi wetu hawajiamini.
Hapa ndio namkumbuka rais wa Gambia ujinga huu.
 
There we go, here is where duo citizenship kicks in.
Mkiwa na watanzania wenye duo, hamta suffer na visa nairobi. Mnatakiwa ku bypass hizi process za visa, otherwise inakula kwenu.
Wasomali hawana bank, lakini kwa vile wako wengi akitaka kutuma somalia pesa, unampa msomali wa hapa pesa yako. Harafu ndugu yako anaenda kuchukua pesa kwa msomali mwingine aliyeko somalia.

Maonalinda masilahi ya taifa kwa uraia mmoja, ni sheria mbovu kabisa kwa sasa, ni sheria ya mwanamalundi na walugaluga wake. Ni sawa na kulinda spectrum ya frequency kwa kutumia analog technology na ukiitupilia mbali digital technology.

Kwz unatak kusema uraia picha ukiruhusia automatically kila Mtanzania anaweza kuingia UK bila visa?
 
Huu ni unyanyasaji na dharau.
Na hii ni kwa sababu ya njaa yetu watanzania. Othereise na sisi tulitakiwa tufanye kama wao..ukitaka kuja Tanzania ufanye aoolication Brussels ubelgi. Tusitoe visa airport.
Haizuru tutakosa vijitalii njas vya UK lakini watabadilisha system kwa na wao wanataka gas na mafuta yetu. Lakini tupo dhof lhali na viongozi wetu hawajiamini.
Hapa ndio namkumbuka rais wa Gambia ujinga huu.

Ha ha ha ha ha
Watu mnafurahisha kweli,
Wafanyabiashara wengi kimantiki walitakuwa wasiwe wanakuja kufuata bidhaa ulaya na marekani. Ilitakiwa mwape watanzania dual citizenship ili warahisishe hiyo bidhaa kupatikana na kuondoa usumbufu na pia kuwezesha bidhaa kwendana na time-to-market.
Waliotakiwa kwenda kuomba visa ni wanafunzi tu. Wazungu, wanafurahia sana wanapokunyima visa na kukupa usumbufu wa kutosha.
 
Kwz unatak kusema uraia picha ukiruhusia automatically kila Mtanzania anaweza kuingia UK bila visa?

Hapana si kweli
Ukiruhusu uraia pacha, kwa mfano kuna watanzania kibao tu UK. Hivyo, kinachofanyika ni ku consolidate tu kidogo, kwa hiyo huyu jamaa mwenye uraia wa UK anakuwa kama dalali, ama anaweza kuwa na store zake TZ, hivyo mtanzania anaweka order kwenye store ya Tanzania huyu jamaa ananunua vitu analeta.

Lakini kitendo cha kum treat huyu mtanzania kuwa ni foreigner pale TZ, hivyo store haweki na visa mpaka nairobi tena week sita, wanakunyima unaomba tena. teh teh teh, Biashara gani utaendeleza kwa mtindo huo?
 
Hivi hii haitakuwa na negative impact katka utalii? Anaejua pls.

Utalii upi, kwani mtalii nae anaenda nairobi kuomba visa?
Impact ni kwa watanzania tu, bidhaa inaongezeka bei mtanzania anasota, wala sio ubalozi wa uk tu, zipo nyingi, Poland nk. Mfanyabiashara anaposumbuliwa namna ile gharama za kuombea visa na gharama za time, hizo gharama anazijumlishia kwenye bidhaa atayoileta na itakayonunuliwa na mtanzania wa kawaida. Na hivyo, kufanya gharama za maisha kwa mtanzania kuwa kubwa. Na mkitoka hapo mnaenda kuandamana serikali ya JK imefanya maisha kuwa magumu. Wakati ni wananchi wenyewe ndo wanazuia watu kutopata dual ili kurahisisha maisha yao wenyewe.
 
Nothing to buy here wandugu, literalry.

Kwa waliofika kwa huyu bibi watakubaliana na hiki, jezi za timu yao ya Taifa wanatengeneza far-east, sasa wafanyabiashara wa Tanzania vichaa waje kununua bidhaa huku?

their biggest export is financial services, of which they go to Tanzania, and not the other way around, hakuna anayekuja UK kufuata huduma za kibenki. CEO wa standard group na mabwanyenye wenzake wamekaa wameona kuna faida kufanya huduma zao Tanzanaia.

Ni jambo la kusikitisha kusumubuliwa kufuata visa Nairobi, ila hatuna ujanja, ndio hasara ya EA comunnity, Wazungu wanatreat the whole EA as one regional block and Nairobi as the virtual HQ.wenye macho tuliliona hili mapema na kuwaasa wanasiasa wetu mapema, inagwa hatukutegemea walifanyie kazi.

Usumbufu mkubwa utakuwepo kwa wanafunzi na wanasiasa, kwani hawa ndio wateja wakubwa wa viza za UK,wafanyabishara wetu soko lao liko pale Oysterbay peninsula kwa mjomba Xi Jinping.

Hizi nchi zinapitisa kwenye kipindi kigumu sana cha uchumi-let's give them a break, malalamiko hayaishi kwa raia wao wa chini na wakati kuhusu ugumu wa maisha. survey ya muda si mrefu imeonesha kuwa asilimia kubwa ya waingereza wana disposable income ya paundi kumi kwa mwezi. hivyo ni sahihi kwao kupunguza gharama.
 
Hapana si kweli
Ukiruhusu uraia pacha, kwa mfano kuna watanzania kibao tu UK. Hivyo, kinachofanyika ni ku consolidate tu kidogo, kwa hiyo huyu jamaa mwenye uraia wa UK anakuwa kama dalali, ama anaweza kuwa na store zake TZ, hivyo mtanzania anaweka order kwenye store ya Tanzania huyu jamaa ananunua vitu analeta.

Lakini kitendo cha kum treat huyu mtanzania kuwa ni foreigner pale TZ, hivyo store haweki na visa mpaka nairobi tena week sita, wanakunyima unaomba tena. teh teh teh, Biashara gani utaendeleza kwa mtindo huo?
Kaka Watanzania walio wengi hapo UK wapo wapo tu kwa hiyo hawana chochote cha kusaidia,kwani ukitaka kusaidia sio lazimauwe na uraia wa nchi mbili,siokusema kuwa sababu upo Ulaya au kwingineko ndio umeula au una maisha mazuri kuliko wala vumbi
 
Back
Top Bottom