Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
nilikuwa kijijini juzi pasaka yani wale vijana rika langu ni wazee wanakula ugoro na gongo tu, wao pia wanafuraha sana niliona.
 
Kwa knowledge niliyonayo kichwani nafikiria hata ni hack ma account ya watu,inachosha aisee,wandugu nichangieni vocha ya 2,000 airtel jana nimepiga kirungu cha 1500 kwenye inbox za wakuu niweke usiku nimekosa naona wakuu wanaogopa kutuma labda namba zao zitaonekana au sijui niwatumie kina Demiss ,najua hao warembo hawatanyimwa vocha
This is freaking BAD,things are terrible,ni mwendo wa freebasics tu na kubahatisha vivocha vya 500 hapa na pale.
View attachment 1082196
Wamepika takwimu ,haiwezekani sisi ni wa kwanza.
 
Majarida ya mabeberu tuyapuuzie tuu

Haya matokeo nayo ni ya kupikwa. Kwa jinsi tunavyojitahidi kuwafanya watu waishi kama mashetani hatuwezi kuwa No.3. Kuna watu wamependelewa. Kwani hao Wagiriki na Wafilipino wana nini cha ajabu.? Wafilipino na Mabenteha yao eti wamekuwa wa 2. Wgiriki wengi ni mabaharia halafu wmechukua kombe kwenye mechi waliyotakiwa kufungwa!!?
 
Kwa knowledge niliyonayo kichwani nafikiria hata ni hack ma account ya watu,inachosha aisee,wandugu nichangieni vocha ya 2,000 airtel jana nimepiga kirungu cha 1500 kwenye inbox za wakuu niweke usiku nimekosa naona wakuu wanaogopa kutuma labda namba zao zitaonekana au sijui niwatumie kina Demiss ,najua hao warembo hawatanyimwa vocha
This is freaking BAD,things are terrible,ni mwendo wa freebasics tu na kubahatisha vivocha vya 500 hapa na pale.
View attachment 1082196
Sasa kama hali ndio hii Wanaume kwa wanawake wanawezaje kuridhishana/Kufika kileleni katika mapenzi?
Cc:
Asprin Sakayo Sky Eclat funzadume Khantwe Mwifwa Daby kapeace
 
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Itakuwa nyie ndio 43% iliyobaki.
 
Wamepika takwimu ,haiwezekani sisi ni wa kwanza.
Kwanza huu utafiti wao umepitishwa na kupata kibali cha NBS? Au wamejiandikia tu? Hawajui hata IMF wameshindwa kukubaliwa kutoa ripoti yao kama hawajakubaliana mambo flan flan na serikali ya kizalendo ya awamu ya 5!
 
Back
Top Bottom