Ili uwe na furaha unahitaji mambo haya
1. Chakula bora na si bora chakula na uhakika
2. Malazi bora na si bora malazi
3. Huduma bora za Afya na
4. Akiba ya kutosha ya fedha, na uoatikanaji elimu bora na yenye tija
5. Usalama wa Raia dhidi ya vitisho na vifo
6. Usafiri w uhakika.
Pale ubungo mataa trafiki wanapovuta ndgu na viongizi inanitia hasira sana. Huwezi kuwa na furaha. Mawazo stress hasira vinawajaa abiria.
Huwa namtamani sana askali anayezuia magari.
Nchi zenye watu wenyr furaha zina haya
1. Wananchi wana akiba benki kila mwezi serikali inawawekea, watoto na wanawake wazazi.
2. Demokrasia ya kweli, huku ukiweka kajihakiba benk hukakuti, unaambiwa charges.
3. Usafiri wa uhakika, huku kwetu hakukuwa na sabb ya usafiri kufanywa eti una DCM au coasta yako unaifanyia biashara. Unganeni uwe kampuni ufwate masharti ya usafirishaji. Kazi kujaza migari mibovu barabarani. Ulaya hakuna upumbavu wa MTU ana kagari lake akaingize barabarani.
4. Kila RAIA ana daktari, huku wanahitimu sijui wanaishia wapi
5. Viongozi sio wazandiki, wanafiki, fitnati. Washamba, wezi wa fikra sahihi. Kyle kiongozi anajitolea yeye na Mali sake kuwatumikia watu.