Jahman85
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 217
- 113
Mkuu nimeipenda hii, bonge la vice versaMbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,