Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,675
Kwa knowledge niliyonayo kichwani nafikiria hata ni hack ma account ya watu,inachosha aisee,wandugu nichangieni vocha ya 2,000 airtel jana nimepiga kirungu cha 1500 kwenye inbox za wakuu niweke usiku nimekosa naona wakuu wanaogopa kutuma labda namba zao zitaonekana au sijui niwatumie kina Demiss ,najua hao warembo hawatanyimwa vocha
This is freaking BAD,things are terrible,ni mwendo wa freebasics tu na kubahatisha vivocha vya 500 hapa na pale.
stress.PNG
 
Kwa style hii ya Magu lazima stress zitaongezeka sana. Poleni wabongo maama jamaa bado ataongezewa muda
 
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Chakula hicho ni chakula bora au bora chakula? Umejaza magunia ya mahindi na mtama unajigamba unachakula? Mtoto ale mihogo kisha atembee 5 km kwenda shule unajisifu unafuraha?. Maji ya foreni na yenye kwenye vidimbwi ndio yanayokupa hicho kibri?. You can't be serious Mr, tofautisha kuishi na kuhangaikia tumbo( to live and survive).

Mahitaji ya binadamu ya muhimu ni matano (chakula, makazi, mavazi)wewe unalo moja ambalo nalo halijajitoshereza.
 
Pole, usihamaki sana, kuishi kijijini haimaanishi kuwa na nyumba ya hovyo hovyo wala kutokula a well balance diet, na haimaanishi kutokuwa na furaha
 
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,

Dah ila maisha ya vijijini bwana, yaani mtu akiamka akiona amekula ameshiba na chakula kipo ndani cha kutosha anaona maisha ndio yameishia hapo.
 
Back
Top Bottom