Tanzania: Ni wapi tuendako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Ni wapi tuendako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BULLDOZZER, Jan 18, 2011.

 1. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu habari zenu.
  Naomba kuwauliza wana JF; Hivi watanzania tunajua tuendako? Au kunahitajika mjadala wa kitaifa kujadili Mustakabali wa nchi yetu?
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wapo wanaojua na wapo wasiojua mustakabali wa nchi yao.
  Mjadala wa kitaifa ni muhimu,wanaojua waweke wasiojua sawa,na wasiojua waonyeshe kutokujua kwao:plane:
   
 3. A

  Anold JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  thanks for this useful question. Now we are moving blindly.
   
 4. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina majian ya wala rushwa nawapa muda wajirekebishe
  Nimekasirishwa sana na wizi wa EPA namfukuza gavana mara moja
  Nina majina ya wauza unga watanikoma
  Hivi karibuni tutapeleka kesi kubwa za wizi mahakani
  tumewashtaki hadi mawaziri.....kma Mramba
  Mchagueni mramba ni panga kongwe lenye makali
  Uchumi wetu unapaa
  KUJIUZULU kwa Lowasa ilikuwa ni ajali tu ya kisiasa.
  Hata mimi sijui kwa nn tanzania ni maskini!.....
  Kama unamjua aliyesema maneno haya na yupo wapi baada ya hapo ...utajua jibu la swali lako (KWA KUTAFAKARI KIDOGO TU}
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  mi najua..nikitoka ofisini naelekea nyumbani ambapo ctapotea sababu njia nazijua...wewe je??hoja yako haina mashiko jaribu kuumiza kichwa na uandike kitu convincing
   
 6. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ziro
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ndio tunajua sana ndo maana tunamchagua mkwere
   
 8. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Wengi hatujui tunakokwenda kwa sababu tunapelekwa! Wengi zaidi hatuhitaji kujua tunakwenda wapi kwa sababu tunaamini kwamba wapo wanaojua tunahitaji kwenda wapi badala yetu!!! Wengine hatutafuti sababu kwanini tuko hapa na tumekwama pale kwa sababu tunaamini wapo walio na majibu katika hilo!!! Tena tunakwenda mbali zaidi ya hapo, tunahitaji tufanyiwe kila kitu bila ya sisi wenyewe kuhangaika wala kujishughulisha na matatizo yanayotukabili!!! Wala hakuna hata mmoja anaeona matatizo akatafuta namna ya kuyatatua bado tunasubiri waje kututatulia wale wanaojua matatizo yetu!!!

  Haitoshi!
  • Wapo wanaofanya bidii kutoboa jahazi na hali tumo ndani na kimya tumekaa!!
  • Wapo wanaojitahidi kusema jahazi linatobolewa lakini hakuna hata mmoja anaewasikiliza!!
  • Wapo wanaofurahia kila jambo bila kujali ni jema ama ovu!!!
  • Wapo wasiojua wala hawahitaji kujua chochote zaidi ya mkate wao wa kila siku wanaousumbukia!!
  Hii ndio Tanzania... Nchi yetu wala si ya mwingine... lakini tunakimbia wajibu na majukumu yetu. Tunawaachia wengine watuhangaikie... wala hatujishughulishi kujua ni MBWA MWITU KWENYE NGOZI YA KONDOO au ni KOBOKO kwenye tenga la KAMBALE!! Ila ndio Tanzania yetu tutaenda wapi?! Maana mfanyakazi anaesifiwa ni yule mwenye kutajirika muda mfupi baada ya ajira - ANA AKILI SANA. Na anaesifiwa ujinga ni yule anaetegemea mshahara wake wa mwezi - ANA NINI MJINGA YULE HAMMUONI KILA SIKU YUKO VILEVILE!!! hiyo ndio Tanzania.....

  Ipo siku yale ya Malkia wa Ufaransa yatabisha hodi nchi hii... kwa maana wapo waliojisahaulisha taabu na mashaka ya wananchi wao... ndio maana sasa wapo baadhi wanatumika bila kujua kwamba wanatumika visivyo!
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  zako + za mbayuwayu + za kuambiwa

  changanya pamoja

  ndo utajua kama tunaelekea popote au tupotupo tu.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  lazima utakuwa mkristo wewe.

  (mnaamini ukipata kibarua cha kukupatia hela ya kitimoto na bia na gari used ya kijapan ndo basi)

  nchi ata iongozwe na shetani hayakuhusu
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wapo wachahce tunajua anguko linalotujia na ndo maana tunajaribu kutengeneza uelewa wa wenzetu na wapo wasiojua ndo maana kwanakazania ukale!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tunapajua ila hatupaoni.
   
 13. m

  matawi JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Michelle pamoja na kwamba si mahala pake lakini avarta yako inanitoa udende. Total confused
   
 14. kagumyamuheto

  kagumyamuheto JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu na HEKIMA yako idumu. Umenena vyema.
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Kaka mbona unaandika kama mimi! isije ikawa baba yetu mmoja!

  umenifurahisha!
   
 16. pumbwes

  pumbwes Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Removed
   
 17. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ulileta usanii mwanzoni.Watanzania tunajua tuendapo ila viongozi wetu hawajui
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Un removed lol
   
 19. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunaelekea mwisho wa kutawaliwa na CCM.....
   
 20. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza wote waliochangia Thread hii. Tuwasaidie wenzetu kufika tunakotaka kwenda kwa amani.
   
Loading...