Tanzania ni nchi ya hovyo


 
Kutembea ni exposure,kama ni mtembeaji Sana nchi yetu bado sana
 
Kwani uliitwa hapa rudi kwa mamako huko Dominika nyambafu we
 
Kwani uliitwa hapa rudi kwa mamako huko Dominika nyambafu we
Siyo Dominica kama nchi mkuu. Huyu charlie yuko Mombasa ila anajiita Dominica ili biashata yake itoke kirahisi kwa watalii wa kigiriki wanaopenda starehe za kurudi nyuma
 
Akili huna
Akheri nikose akili kuliko nikasifie kwa jirani ati kuzuri. Wewe ulivyo kihongo hata mamako waweza mkataa kisa kapoteza jicho akikukingia usiumizwe. Wawezaje kuiita nchi ulikozaliwa, ukakulia hadi ulipojua kwenda choo mwenyewe sasa ndo unaiita nchi ya hovyo?? Ni nchi ya hovyo kwa sababu ya watu hovyo ka weye kuzaliwa humo
 
Kutembea ni exposure,kama ni mtembeaji Sana nchi yetu bado sana
Nasema, huenda hujawahi kutembea nchi mbali mbali. Sijivuni lakini ni Uarabuni tu sijafika. Lakini sijawahi kuona fahari kukaa huko nilikoenda. Kulikuwa na nafasi nyingi tu za kuweza kuzamia lakini nilipokumbuka uhuru nilio nao hapa nyumbani nilijikuta nimesharudi tu. Nikikuambia hivyo waweza ona labda nadanganya sasa niulize swali la kuhusu huko uliko nikikujibu uufyate. Nenda uendako; Home is home, East or West. Home is the best place to be
 
Not really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongo
 
Not really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongo
Lets say, unatembea kwa nia gani?? Kutalii, kusalimia, kutafuta maslahi au?? Kwa sababu itategemea kilicho kupeleka. Sikujua kuwa USA kama ni wasio na home hulala njiani kabisa kabisa. Sisi huku tunawaita Machokoraa. Unapomuona mzungu huku waweza amini hana kwao?? Umeenda Bombay? Hivi waweza muuza mkeo ili mle chakula siku hiyo?? Tena unamuuza kwa rafiki yako kabisa?? Hivi umeenda Sydney?? Waweza lala barazani bila nguo ya kujifunika huku barafu imekuzunguka?? Je Tasmania?? Je T&T?? Je, Waweza ona watu wakisombwa kila Jumatatu na kupakiwa kwenye maboti wakirudishwa kwao kwa sababu walikuja nchini kulewa tu Denmark?? Man, umeenda huko kufanya nini hata ukaona utamu kuzidi kwenyu?? Je, ni kule kwa malkia au Scot??
 
Not really wew hujaitembea dunia aisee bongo si kitu broo , jaribu utembee kama sisi huwezi tamani kurudi bongo
You are right. Lkn ujue huo uzuri ni jasho la watu. Njoo na wewe huku tutoke jasho tuijenge Tanzania
 
You are right. Lkn ujue huo uzuri ni jasho la watu. Njoo na wewe huku tutoke jasho tuijenge Tanzania
Hapana we Tanzania's we don't have commitment, tatxo ccm wamejimilikishs nchi watz hatuna LA kusema na hatuwawez kwa lolote akina polepole hapo Mimi sina chama ila natamani sana nchi yetu iendelee kama nchi nyingine kwakuwa na ona opportunities nyingi kwa Tz kuendelea na kuwa most developed country in Africa
 
Ww hujatembea kaa kimya ukitembea si utatutukan watanzania wote hapo ulipo kwenda hata kwa malori unafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…