Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Yaani hapo unajiona black American ... 🤣🤣🤣Acha uboya . Hypocrisy and naive patriotism is the biggest problem to you dummies .
Tanzania is a fucking shithole and it will be so forever and ever. That's why even those stupid crooks in power drags you people in what ever way they want to . I guess you are even ready to eat their poops .
2/3 years ago Wayne Rooney alipotembelea Dar akiwa na timu yake ya Everton waliita Dar eti ni "big fishermen's village"!Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Ulielewa maana yake?2/3 years ago Wayne Rooney alipotembelea Dar akiwa na timu yake ya Everton waliita Dar eti ni "big fishermen's village"!
mimi ni msukuma!Ulielewa maana yake?
Bado hujajibu swalimimi ni msukuma!
Achana na huyo pimbi..hawa ni wale aina ya watu wanaowakana wazazi wao na kuona aibu kuwatambulisha kisa umasikini wao.Niseme nini kukubadilisha mtazamo wako. Naona hata lugha yetu pendwa sasa huijui tena ila kinyamwezi cha huko ubayani. Pole sana mkuu. You are just another mbulula
Hili ndyo tatizo lenu wabongoAchana na huyo pimbi..hawa ni wale aina ya watu wanaowakana wazazi wao na kuona aibu kuwatambulisha kisa umasikini wao.
Hapa umetaja kiduchu ya uhovyo wa mifumo ya nchi yetu.Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Hapa mchumba umedanganya. Ukiwa angani hapa Dar unakuta hata barabara hazipo unajiuliza wanafikaje nyumbani. Kwa wenzetu barabara ni straight. Mji uliopangwa vizuri ni Tanga, Dodoma na barabara zinajionyesha na zinasomeka. Ukiangalia Area C, D na uzunguni yaani Mlimani Dodoma kila mtaa unajionyesha hupotei. Dar ila ya ruksa ilifanya watu wajenge bila ramani za barabara na wengine waliziba barabara na mitaro ndo maana tuna mafuriko Dar. Why Dar?Usikute na hao Botswana na Namibia wakija huku wanaziteta nchi zao ziwe kama Tanzania!!😜
Miji gani nyingine hapa Tanzania umefika na ukakuta hovyo?Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Kuna siku utatuambia Mke wako ni mbaya kisa unamtamani Mke wa jirani yako.Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.
Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.
Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Dar walifanya makosa sitegemei na kwengine watafanya hivyoHapa mchumba umedanganya. Ukiwa angani hapa Dar unakuta hata barabara hazipo unajiuliza wanafikaje nyumbani. Kwa wenzetu barabara ni straight. Mji uliopangwa vizuri ni Tanga, Dodoma na barabara zinajionyesha na zinasomeka. Ukiangalia Area C, D na uzunguni yaani Mlimani Dodoma kila mtaa unajionyesha hupotei. Dar ila ya ruksa ilifanya watu wajenge bila ramani za barabara na wengine waliziba barabara na mitaro ndo maana tuna mafuriko Dar. Why Dar?
Malezi mabaya haya tangu ukiwa mtoto, usamehewe bureTumekusikia vyema ila tunasubiri utueleze na kasoro za Mama yako.