Tanzania ni nchi rahisi kuiongoza

lodirofaa

Member
Jul 6, 2021
25
62
Najua unanishangaa kusema hivi

Kiukweli watanzania Ni watu wa ajabu hali inayopelekea kuwa Ni rahisi Sana kuwaongoza

Miezi kadhaa nyuma watu walikuwa wanalalamika kuhusu vifurushi kuishi bila kutumika na kupangiwa muda wa matumizi

CCM walichokifanya wakaongeza zaidi ya mlipokuwa mnapalalamikia baada ya hapo mkapaza sauti zaidi mkidai serikali iwasaidie

CCM kwa ujanja wakasema sawa kuanzia leo vifurushi virudi Kama zamani mkafurahi duh angalau mkasahau mfumo wa zamani nao mliukataa LAKINI mliporudishiwa mkasahau yoooote hivi baada wameacha kuwapangia muda wa matumizi? Hamkulalamika kuhusu muda wa matumizi?

Sahizi imekuja tozo mmepiga kelele mama kawaambia wanakifanyia kazi mmepowaaaaaaa Kama sio ninyi mliokua mnalalamika mpo bize na Manara kufukuzwa Simba na waziri alishawajibu asietaka ahamie Burundi.

Kwa haya machache tu imeonesha jinsi gani watanzania wengi Wana low capacity of thinking

Na Leo mama kasema Marekani wakimaliza uchaguzi wanafanya maendeleo hawafanyi mikutano. LAKINI chaajabu CCM wanafanya Kama Marekani Ni mfano wa kuigwa kwanini tusiige mfumo wao wa kumshitaki Rais, kufanya uchaguzi baada ya miaka minne?

NB: Mama alisema yeye na mtangulizi wake Ni kitu kimoja
 
IMG_20210528_133707.jpg
 
Kichwani kumejaa ngono tuu na ndo mana tunaongozwa na wapumbavu. Africa inabidi tutawaliwe tena na nashauri tutawaliwe na misukule
 
Mkuu....
Minadhani, hakuna watu rahisi kuwaongoza Kama wajinga,waoga na masikini.
 
The people must be kept poor and hungry because the votes of a hungry man can easily be bought with 1 derica of rice, the support of the poor man can easily be gotten with ponmo and paltry monthly stipends. Keep him poor so you can keep him ignorant and illiterate, ignorance and Illiteracy= religious extremism.

Cc: Daye
 
Back
Top Bottom