MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Kutokana na janga la Gongo la Mboto lime nijia wazo kwamba tuna hitaji kitengo cha kutoa huduma ya kwanza. Hapa simaanishi polisi au vyombo vya usalama bali watu wanao weza kwenda kuokoa watu na kutoa misaada mbali mbali mfano wenzetu wanavyo fanya pale maafa kama ya migodi iki tokea.
Kwa vile nchi yetu kila siku tuna jidai ni "masikini" hii unit inaweza ikawa na idadi kubwa ya respondents wawe kama volunteers na wale waku ajiriwa wawe viongozi tu wa kitengo. Kwa hiyo kwa mfano mimi MF1 niki jiandikisha kama volunteer napewa training kama ni huduma ya kwanza n.k. Janga lita kapo tokewa naitwa mara moja. This way siwi mwajiriwa kwa hiyo siwi gharama yoyote kwa serikali.
Je mnaonaje wakuu?