Dahhh mkuu umenitoa jasho lakini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hapa ndio nimekupata vizuri sana.
Ulitakiwa ufunguke kama hivi.
Ahsante sana Kiongozi
Ushaambiwa na mkulu hakuna njaa ww unayetangaza ni nan?Sasaa,me sijaelewa,kutajwa kwa Tanzania huko holywood kunamsaidiaje mtanzania wa kawaida aliyeko pale masurura-musoma vijijini kuondokana na baa la njaa linalomkabili kutokana na ukame?
Mkulu DUME SURUALI nini shida?Mleta Mada ....ohooo
Kwanza inatangaza taifa duniani leo hii unajua cuba je ulishawahi kufika?
Pili kutoa location tu kuna commission balozi ya nchi husika wanatoa kama kodi, unataka kusema kina diamond south wanaact bure?
Hv ww ni mtanzania kweli? be proud amigo!
No one knows watachukua pande ipi, hv hawa wanaoenda south Africa wanashoot bure?Commission zinalipwa kwa kupigwa pictures???
Sehemu pekee ninayojua serikali inalipwa kutokana na pictures ni kwenye national parks.
Aisee