Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Demokrasia Tanzania inatisha sana, Viva Samia
 
Huyu Mama anaenda kuwafuta wapinzani very soon,

Walitegemea kuonewa huruma kwamba wananyanyaswa,

Kwaripoti hizi Chadema Mwafwaa
Scandinavia kuna kila kitu na kuna kila kitu kinachohusu watu na upinzani upo wewe huna hata uhakika wa maji ya kukoga hapa Tanzania.... unaota upinzani ufutike.... ??????
Kweli mazuzu wapo wengi Tanzania
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Kaziiendelee kwa kasi na weledi zaidi
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…