Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Watanzania hatujui tunachotaka. Juzi tu hapa walikuwa wanaimba bora nikae kimya, Leo wanatukana na kupinga kila linalofanyika na bado watasema hakuna Uhuru wa kutoa maoni
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Good
 
Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan
 
Hongera sana mama
 
Nzuri sana hii kwa Tanzania
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Duuuh hii habari sio nzuri kwa wazee wa Ufipa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ