Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 


Kuna watu unaweza sema wamezaliwa kutukanwa....
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Huyu Mama anaenda kuwafuta wapinzani very soon,

Walitegemea kuonewa huruma kwamba wananyanyaswa,

Kwaripoti hizi Chadema Mwafwaa
Kwani zamu yako ya kumwagilia maua malaloni Chato ni lini. Siku ukienda yafaa pia ukaliangalie vizuri na kufanya tafakuri kwanza ili akili ikururudie.
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Kazi iendlee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…