Tanzania Nchi Ya Ajabu Ajabu Tu, Kodi Ya Gari Unalonunua Japan Au Kwingine Iko juu Kuliko Bei ya Gari Lenyewe.

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
1,729
2,000
Kwa kuongezea Malawi, Zambia,Burundi,Congo na Rwanda wangekuwa wanakuja kununua magali katika show room za hapa Tanzania badala ya kuagiza moja kwa moja Japan
Sasa unadhani wasomi wetu wanajua dhana ya "competitive advantage" na kutumia nafasi yetu kua na bandari kufaidika kama nchi?
 

Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,161
2,000
Sasa si ndiyo tutanunua magari ya kueleweka mzee baba?

Maana kama ninanunua gari ya $10000 na kodi yake $10000 si nitaziwekaa pamoja nichukue kitu cha maana.

Nimeona nchi zenye kodi ndogo ya magari Africa Toyota unahesabu barabarani.
Ni kweli mkuu, nilikuwa capetown,gari za mjapani ni za kuhesabu
 

Attainer Jr

Senior Member
Mar 22, 2019
170
500
Wana discourage tusitununue screpa mkuu
Wakipunguza kodi barabarani itakuwa vituko
Japani kuna gari hadi ya dola 600

Watanzania tunsvyopenda cheap barabara zitajaa mikebe
Ikiwa point watu wasinunue screpa, mbona hata hizo gari za gharama zinalipiwa ushuru same kama hizo screpa unazosema?

Kama tatizo ni kuingiza gari zilizo chini ya ubora, waweke limitation ya manufacturing year ili wananchi watambue kuwa najiandaa kununua gari ya thamani fulani ambayo ni kuanzia mwaka fulani kwenda juu na si kushuka chini.
 

Attainer Jr

Senior Member
Mar 22, 2019
170
500
Sasa si ndiyo tutanunua magari ya kueleweka mzee baba?

Maana kama ninanunua gari ya $10000 na kodi yake $10000 si nitaziwekaa pamoja nichukue kitu cha maana.

Nimeona nchi zenye kodi ndogo ya magari Africa Toyota unahesabu barabarani.
Hii ni point mzee na siyo Toyota kutoonekana barabarani gari likiharibika mtu akipiga mahesabu ya gharama za kulitengeza ni kubwa kuliko kuagiza jipya mtu anaona aagizw jipya lile linakuwa screpa
 

nsa ji

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
288
250
Kuna tatizo sehemu gari inauzwa 2,000,000. Na kodi 4,000,000.jumla 7,000,000 nchi hii shida vyanzo vya kodi ni vilevile.
Kweli namm naliona tatizo; yani unanunua gar kwa 2M, kodi inakuwa 4M lkn jumla inakuwa 7M. Tatizo kubwa sana
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,517
2,000
Hahaha
Ndiyo maana Serikali ya hii nchi haifanikiwi. Wanapenda kuvuna wasipopanda. Hadi waache dhuluma kama hizi ndipo watafanikiwa. Yaani wenzao wabuni magari halafu wao ndiyo watake kula kuliko waliobuni na kutengeneza
 

Aswile Mpegesa

New Member
Dec 25, 2017
3
20
Amekuambia ukinunua la milioni tano andaa milioni tano nyingine kwa ajili ya kodi, sasa kama skrepa kwanini ulipe kodi? Fikiria
 

Fidakasa

Member
May 14, 2013
83
225
Walioenda kuongea na JP actually wanajiweza wako kwenye level nyingine sio za kulialia km wengine!
Naungana na wengine ukisema wanaavoid scraper si kweli sbb unapoagiza gr hata km la mwaka 2000 ukilinganisha na yaliyopo only if yametembea Tz hilo ni JIPYA SANA. Barabara zetu ni majanga magari hayawezi kudumu miaka mingi.
Tungeimatisha ukaguzi km wanaofanya Uingereza. Gari bovu halitembei barabarani na kila mwaka unakaguliwa ipasavyo.
Tungetumia competitive advantage hata wenzetu jirani wangekuja nunua hapa. Mfano tunaweza sema Mzambia au Mmalawi akiagiza gr moja kwa moja alipie aghali lakini akiagiziwa na agent wa Tz alipe kidogo km sio bure ili kuongeza ajira kwa maagent wa Tz.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom