Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Wazimbabwe wameanza kulalamika kwenye social media zao.Kumbe hawa wachezaji wao hawajalipwa posho zao.Wameshakata tamaa,wanashangaa kama hii Tanzania ndo walifungwa 3-0 na Burundi.Wanatakiwa watufunge 2 mengine ili wapite.
 
Sasa hivi wanatakiwa watufunge tatu maana sasa hivi ni Taifa 2 na wao 1 ukijumlisha na la hapa tuko mbele kwa 3 - 1
 
Punguza picha hii moja tu ingetosha, mitandao yenyewe ya bongo iko slow sana ukiongeza picha nyingi haina faida wala maana. Ushauri tu.
 
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?

Mkuu kwa Africa hiyo kitu ni ngumu sana..mwaka 2012 washabiki wa timu ya taifa ya south waliandamana juu ya ishu kama hiyo.

Inabidi yawepo makubaliano ya pande zote mbili, na sio uamuzi wa nchi moja.
 
Safi sana.Wasikie Wazimbabwe: It's over now. We need 4 goals. No concentration and application'. Haaa!teh teh wamekata tamaaa.
 
Mkuu kwa Africa hiyo kitu ni ngumu sana..mwaka 2012 washabiki wa timu ya taifa ya south waliandamana juu ya ishu kama hiyo.

Inabidi yawepo makubaliano ya pande zote mbili, na sio uamuzi wa nchi moja.
mbona Azam wameweza?
 
Zimbabwe wanacheza mpira mzuri na wanaonana tofauti na Taifa Stars.
 
Hadi dakika hii ya 61,mabao ni 2-2.Mabao ya Stars yamefungwa na Cannavaro na Ulimwengu. Mpambano ni mkali sana.Go Stars.................goooooooooooooooo our National Team. I am proud of you guys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…