Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 967
- 1,268
Salaam wote.Hivi Taifa Stars itapata mechi za Kirafiki kabla ya kuivaa Lesotho??Mechi 2 au 3 zinatosha.Kuna nchi zimeshafuzu mfano Madascar,rahisi kuomba friendly.Hawana presha tena...
NB:Akaunti ya Changia Taifa stars ni ipi na Benki gani ili na mm nichangie kidogo.
bandugu post yako ni ya tarehe 29/10, sister!! inamaaan hakuna mdau aliyeko South Africa atupe habari za timu na kambi!!?? Mbona updates za EPL zipatikana?? Tena na picha juu watu wakiwa mazoezini?? Duh! 50m inawatia hofu aunt?!
Hii TFF ndio mchawi wa football Tanzania, hawa watu wanasikika kipindicha uchaguzi tu baada ya hapo hatujui kinachoendelea tena.
Nafasi ya Afcon tuliiacha Maseru vs Lesotho.Kesho Waganda wanaweza kuwa ngangari na kuacha kilio
Nadhani bado mwaka 1 Mkuu.!!😀😀Imebaki takriban wiki moja kabla ya mechi na Uganda.