Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Salaam wote.Hivi Taifa Stars itapata mechi za Kirafiki kabla ya kuivaa Lesotho??Mechi 2 au 3 zinatosha.Kuna nchi zimeshafuzu mfano Madascar,rahisi kuomba friendly.Hawana presha tena...
NB:Akaunti ya Changia Taifa stars ni ipi na Benki gani ili na mm nichangie kidogo.

bandugu post yako ni ya tarehe 29/10, sister!! inamaaan hakuna mdau aliyeko South Africa atupe habari za timu na kambi!!?? Mbona updates za EPL zipatikana?? Tena na picha juu watu wakiwa mazoezini?? Duh! 50m inawatia hofu aunt?!
 
bandugu post yako ni ya tarehe 29/10, sister!! inamaaan hakuna mdau aliyeko South Africa atupe habari za timu na kambi!!?? Mbona updates za EPL zipatikana?? Tena na picha juu watu wakiwa mazoezini?? Duh! 50m inawatia hofu aunt?!

Umesema vizuri,umeniwahi nilitaka kuandika kitu kama hiki ulichokiandika.Hilo ni tatizo la TFF 100% tunahitaji kufahamu progress za timu ya Taifa. Jinsi inavyoendelea kujinoa kwenye uwanja wa Celtic.Website ya TFF imejaa habari zilizopitwa na wakati.Unapokuwa unapost picha na maendeleo,wanadau wanavutiwa hata kwenda kuishangilia kwani kwenda Lesotho kitu gani bwana.Gazeti moja tu la leo 08 Nov la Kiswahili ndilo walau limeandika hoteli ilipofikia Timu (City Lodge ya Bloemfontein)
 
Hii TFF ndio mchawi wa football Tanzania, hawa watu wanasikika kipindicha uchaguzi tu baada ya hapo hatujui kinachoendelea tena.
 
TFF-Get Mr.Amunike sucked immediately.No excuse in the 1-0 loss to Lesotho who had only trained for 2 days in their home country unlike us who trained for 10 days in South Africa.Aibu aibu aibu.......!
 
FUNGULIA NYEGENYEGEZI FUNGIA TAIFA STARS FASTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
.
luka.kitomari___BvMqdZOHMJ9___.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom