Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 941
- 1,242
Salaam wote.Hivi Taifa Stars itapata mechi za Kirafiki kabla ya kuivaa Lesotho??Mechi 2 au 3 zinatosha.Kuna nchi zimeshafuzu mfano Madascar,rahisi kuomba friendly.Hawana presha tena...
NB:Akaunti ya Changia Taifa stars ni ipi na Benki gani ili na mm nichangie kidogo.
bandugu post yako ni ya tarehe 29/10, sister!! inamaaan hakuna mdau aliyeko South Africa atupe habari za timu na kambi!!?? Mbona updates za EPL zipatikana?? Tena na picha juu watu wakiwa mazoezini?? Duh! 50m inawatia hofu aunt?!