Nadhani huu wimbo ni dua, ni kitu kinachojenga hamasa na funzo la uzalendo!
Katika hii awamu ya 5 watu wanapaswa kurejea hizi nyimbo za kizalendo na kujenga hamasa!
Tanzania Tanzania .... nakupenda kwa moyo wote!!
......Tanzania....Mola awe nawe Daima!
Wimbo mzuri sana na ulifaa kuwa wimbo wa taifa. Lakini pia uzalendo huanzia ndani ya moyo wa mwananchi kutokana na mambo kadhaa yanayomzunguka kama uongozi bora, siasa safi, maendeleo yenye usawa kwa maeneo yote, nk