Tanzania Nakupenda kwa Moyo wote: ukisikiliza huu wimbo utaacha ufisadi

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Nadhani huu wimbo ni dua, ni kitu kinachojenga hamasa na funzo la uzalendo!
Katika hii awamu ya 5 watu wanapaswa kurejea hizi nyimbo za kizalendo na kujenga hamasa!
Tanzania Tanzania .... nakupenda kwa moyo wote!!
......Tanzania....Mola awe nawe Daima!
 
Huu wimbo ndo ulipaswa kuwa wa taifa na sio ule wa mungu ibariki
 
Wimbo mzuri sana na ulifaa kuwa wimbo wa taifa. Lakini pia uzalendo huanzia ndani ya moyo wa mwananchi kutokana na mambo kadhaa yanayomzunguka kama uongozi bora, siasa safi, maendeleo yenye usawa kwa maeneo yote, nk
 
Nilalapo nakuwaza weweeee niamkapo ni Heri tu mamaa weee. Yan huu wimbo nikisikia machoz yananitoka
 
Nilipokua shule nilikua nikiuimba kwa hisia kali sana. Ulifaa kuwa wimbo wa taifa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom