Tanzania na urasimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na urasimu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jilanga, Sep 6, 2012.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni miongoni mwana mataifa ambayo yapo makini sana katika usajili wa makampuni pamoja na biashara nyinginezo kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kisheria. Kama inavyoelekeza visit www.doingbusiness.org.
  SWALI langu kwa wanaJF ikiwa ni kweli beaurocractic and legal practice are observed and properly adhered iweje tunaingia mikataba fake na Makampuni hewa? Nawasilisha
   
Loading...