mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 107
Habari wana jf
nataka kujua kutoka kwa mtu yoyote anaejua kua katika nchi yetu kuna uwekezaji wowote uliofanywa juu ya teknolojia walizo nazo baadhi ya watanzania?iwe ya kuiba(kucopy)au ya mtu kugundua,je kuna kitengo chochote kinachohusika na ukuaji wa teknolojia katika kuzikuza na kuzitumia ili na sisi baada ya miaka kadhaa tuweze kutengeneza vya kwetu?nakumbuka kuna siku nilikua naangalia uswazi(kipindi cha EATV) nikaona jamaa ametengeneza helcopta na ilikua kwenye hatua za mwisho ckujua tena jamaa aliishiaga wapi.na je vp kuhusu yale magari ya JWTZ waliosema wanayatengeneza wenyewe(katika ckuku za muungano)je,n wanatengeneza kila k2 kuanzia body,injini,giaboksi na kila kitu au wanatengeza body 2 na vilivyobakia kama injini wanaagiza nje ya nchi na kuja kuviungia hapa nyumbani?sikatai kukosolewa kwan ndio mojawapo ya njia za kujifunza,karibuni