ni kweli lakin huwaga nakasirika akujadili mambo ya serikali yetu na tanzania kwa ujumla manak eyanatia hasira sana.
hivi mkuu kwa kuangalia tu pasi hata kukaa darasani mkoa wa pwani wapaswa kuwa nyuma kimaendeleo kama ulivyo ukicompare na mabonde mazuri waliyonayo tena yenye maji? angalia nazi tu na embe dodo zinazopatikana huku pwani kabla hata ya kuangalia korosho na mabonde kama ruvu na rufiji.
hebu angalia uwekezaji pekee ktk mkoa wa pwani ni vituo vya mafuta na mahotel ambayo mengi yak bagamoyo na haya hayawez kuwa na tija hasa ya ajira kwa vijana wengi, lkn kutwa nzima hakuna la maana zaid ya misafara ya rais kwennda kwake huku akichekelea vituo vya mafuta akasahau mashamba na maji yanayotirirka bure pasi kuwa na tija.stupid kabisa
haiwezi kujiendesha bila mikopo/misaada kwa sababu viongozi walioko madarakani hawana vision ya kuliondoa taifa hili kutoka iliopo sasa na kuipeleka kwenye mafanikio...
wao wameweka matumbo mbele maslahi ya taifa nyuma...
uwezekano wa kujiendesha yenyewe upo, hii itatokea endapo wananchi/umma utakapojua hatua stahiki za kuwachukulia hawa watawala wanaotanguliza mbele matumbo yao badala ya maslahi ya umma...
Mkuu Rwanda wameonyesha mabadiliko kwa miaka michache mnoo,
huoni miaka 50 ni mingi sana kwa Taifa lisilo na Majanga na lililo sheheni UTAJIRI WA ASILI?
tusiilinganishe rwanda na tanzania.rwanda ni nchi ndogo sana.inaweza kuwa kama mikoa miwili au mitatu mikubwa ya tanzania.
nafikiri wananchi tuamke na tuwe na utaratibu wa kubadili uongozi kadri iwezekanavyo...Mkuu,Tunafanyaje hapo ili tuondokane na KURITHISHA madeni Watoto na vijukuu vyetu?
Hii ndio suluisho kamili,kuiondoa CCM ambacho ni chama cha kulindana.Kulindana ni tatizo kubwa ambalo rasilimali za nchiTanzania tunaweza kujiendesha iwapo tutaiondoa CCM madarakani.
Ki ukweli, Tanzania tunahitaji miaka 50 ili kujiendesha wenyewe bila misaada!
Kuhusu mikopo, hata USA wanakopa, hivyo Tanzania sidhani kama tunaweza kukwepa kukopa!
Nikirudi kwenye misaada, kutokana na mfumo tulioachiwa na wakoloni (ukoloni mambo leo) ni vigumu sisi kusimama peke yetu kwa kipindi hiki, wengine watadai kuwa tuna resources nyingi ambazo zikitumika vizuri tunaweza kujiendesha bila kutegemea misaada, lakini swali la kujiuliza ni je, vifaa, teknolojia na ujuzi wa kuvuna na kutumia hizo resources tunao?
Jibu ni HAPANA, na ili tuwe na huo uwezo naamini tutahitaji miaka 50! Hii haijalishi ni chama gani kipo madarakani, iwe CCM, CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, au hata tukikodisha chama cha siasa kutoka nje. etc.
Kitu cha ajabu ni kuwa hata South Africa naye anategemea msaada japo ni kwa asilimia kidogo ukilinganisha na Tanzania!
Tukizungumzia swala la technology tunahitaji hiyo miaka ambayo umeitaja lakini sisi kinachosumbua hata km na wenzetu wanakopa sisi tumezidi kwa mfn bajeti yetu haiendi bila wafadhili wenzetu km kenya wamewezaje kupunguza kiwango cha utegemezi?Ki ukweli, Tanzania tunahitaji miaka 50 ili kujiendesha wenyewe bila misaada!
Kuhusu mikopo, hata USA wanakopa, hivyo Tanzania sidhani kama tunaweza kukwepa kukopa!
Nikirudi kwenye misaada, kutokana na mfumo tulioachiwa na wakoloni (ukoloni mambo leo) ni vigumu sisi kusimama peke yetu kwa kipindi hiki, wengine watadai kuwa tuna resources nyingi ambazo zikitumika vizuri tunaweza kujiendesha bila kutegemea misaada, lakini swali la kujiuliza ni je, vifaa, teknolojia na ujuzi wa kuvuna na kutumia hizo resources tunao?
Jibu ni HAPANA, na ili tuwe na huo uwezo naamini tutahitaji miaka 50! Hii haijalishi ni chama gani kipo madarakani, iwe CCM, CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, au hata tukikodisha chama cha siasa kutoka nje. etc.
Kitu cha ajabu ni kuwa hata South Africa naye anategemea msaada japo ni kwa asilimia kidogo ukilinganisha na Tanzania!
NA NDIO MAANA TUNAFUATA MATAKWA YAO KILE WANACHOSEMA UMEMSAHAU DAVID CAMEROON,UMESAHAU WANAVYOUTAKA MJI WA KIGAMBONI NA WAMEPEWA BWEREREEEEE,KWANI WATANZANIA HAWATAKI KUISHI SEHEMU NZURIIIII.nikuu ya mbunge wa kigamboni
Watu mnachnganya mambo, tofautisha misaada na mikopo. Mikopo hata nchi kubwa zinakopa kwa ajilia ya kufanya mambo makubwa zaidi na zina uwezo wa kurudisha bila shida. Misaada ni kitu kingine.
Halafu angalia Tz hata ikikopa huwa inarudisha au inarudishaje? Mara nyingi haiwezi kurudisha kwa sababu ya management mbaya, wizi etc., kinachotokea ni kuwaruhusu wahisani wachukue rasilimali bure kama fidia. Kitu cha kwanza iondoke CCM kwanza ndio tujue what next.
Kwa sisi ambao HATUNA AKILI TIMAMU ngoja tusijadili.
ndugu yangu hii nchi bila nguvu ya umma as individual kupigania hivi vitu ukijitokeza tu tutakukuta mabwepande kaka.hivyo.tukipata viongozi wenye kujali maslahi ya umma tutafanikiwa kwa kiasi flani japo si 100%.pia mapinduzi ya chama tawala yatasaidia sana ,tukiiondoa ssem madarakani tunaweza faulu hata kwa 65%unadhani mimi na wewe tunawezaje kuzinusuru raslimali zetu dhidi ya wanyonyaji?
Kuna maswali mengi yamekua yanasumbua Akili,hasa akili za wenye ufahamu wa juu..
Je!! Kwa Nchi ya Tanzania inaweza kuendesha shughuli zake bila kutegemea misaada na mikopo toka Nchi za nje?
Na endapo unadhani inawezekana Tanzania ikaendesha bila huo utegemezi, au haiwezi kuachana na utegemezi..
TOA SABABU ZAKO HAPA!
Kwanini haiwezi kutegema Mikopo na misaada?
Kwanini inaweza kuendesha shughuli zake bila misaada na mikopo?
ndugu yangu hii nchi bila nguvu ya umma as individual kupigania hivi vitu ukijitokeza tu tutakukuta mabwepande kaka.hivyo.tukipata viongozi wenye kujali maslahi ya umma tutafanikiwa kwa kiasi flani japo si 100%.pia mapinduzi ya chama tawala yatasaidia sana ,tukiiondoa ssem madarakani tunaweza faulu hata kwa 65%