kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
- Thread starter
-
- #21
Mtoa mada amezingatia 'Utegemezi'...mfano bajeti yetu more or less 40% inatoka kwa wahisani. Hao wamerekani na nchi nyingine zilizoendelea wanajitosheleza na bajeti zao.
wenye akili timamu peke yake ndiyo watakaoelewa kinachojadiliwa hapa
Tanzania
tunaweza kujiendesha iwapo tutaiondoa CCM madarakani.
Yote yanawezzekana bila ya kuwa na CCM Madarakani...............Kama CCM itaendelea kuwa madarakani hali itazidi kuwa mbaya na mwishowe tutakuja kula mizizi nchi hii.
Asante mtoa mada kwa wazo zuri.naamini hili linawezekana kujiendesha bila misaada lakini pia kwa mikopo ambayo ni kwa lazima sana mfano wameshafanya analysisi ya any project then ndio wanakopa tatizo linakuja wanakopa hawajui hela wafanyie nini wakubwa wankwapua yote ,tatizo lililopo tanzania ni uongozi mbovu wa serikali yetu na viongozi kuwa wabinafsi,na kutokuwa na mfumo mzuri wa ukusanyaji wa kodi.tanganyika ni nchi iliyobarikiwa sana kati ya nchi nyingi duniani ina rasilimali nyingi-madini ,vyanzo vizuri vya maji . Mbuga za wanyama .
Kwa kuzingatia mambo haya nafikiri ingeepukana na misaada na mikopo isiyokuwa ya lazima
1.sera madhubuti kwa wawekezaji wa aina yyte ile hasa kwenye secta ya madini,na viwanda hamna msamaha wa kodi ,maana mpaka mwekezaji kaamua kuja kuwekeza ameshafanya research kwamba inalipa.
2 .ukusanyaji wa kodi na ufuatiliaji mzuri
3.kuboresha miundombinu karibu sehemu nyingi ziwe zinafikika sio mijini tu hii itanyanyua secta ya kilimo na ufugaji.
Yapo mengi ngoja ntarudi nimetumwa na boss
4.
KIla nchi duniani ina mikopo. Kwa kifupi hatuwezi kujiendesha bila mikopo kwakuwa hata Marekani na China wana mikopo.
NA NDIO MAANA TUNAFUATA MATAKWA YAO KILE WANACHOSEMA UMEMSAHAU DAVID CAMEROON,UMESAHAU WANAVYOUTAKA MJI WA KIGAMBONI NA WAMEPEWA BWEREREEEEE,KWANI WATANZANIA HAWATAKI KUISHI SEHEMU NZURIIIII.nikuu ya mbunge wa kigamboniNa tujiulize, Iweje tukopeshwe zaidi ikiwa Madeni ya mwanzo hatujamaliza kulipa?
KUNA NINI KIMEJIFICHA HAPO?
na kadri wanavyojitahidi ndio jinsi wanavyousogelea msitu wa mabwepandeUtajiri wa nchi hii ni mali yangu mimi na wewe unayesoma maneno haya na yule mtanzania mwenzetu ambaye hajabahatika kuwa hapa jf.
Cha kushangaza wengi wetu ikiwepo mimi na wewe tuna mawazo na uchungu wa namna gani wachache wanafaidika na rasilimali zetu ila hakuna wa kuchukua hatua.
Tunaona wachache wanajitahidi pale bungeni
ni kweli lakin huwaga nakasirika akujadili mambo ya serikali yetu na tanzania kwa ujumla manak eyanatia hasira sana.Ki vipi Mkuu? Mchango wako muhimu ....
Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne: watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora - Nyerere (Azimio la Arusha)
Hivyo ili tujikombowe tunahitaji kijisahihisha katika maeneo hayo mawili. Nchi za Mashariki ya Mbali k.m. Malaysia na Singapore ambazo katika miaka ya 1960s tulikuwa tunafanana kiumaskini zimepiga hatua katika maendeleo. Na hii inatokana na viongozi wao kuamua kujenga uchumi na siyo siasa.
- Watanzania hivi sasa siasa inaongoza uchumi badala ya uchumi kuongoza siasa - hilo ni kosa
- Viongozi wetu wengi wamekosa uzalendo na wako tayari kuuza rasilimali zetu au kuziweka rehani kwa maslahi binafsi - hilo ni kosa jingine
Tujisahihishe!
elimu bora,tuwe na viwanda vingi,tu export zaidi ya importation!utawala bora na creativity kama kagame