Tanzania na Michezo Ya Olimpiki 2016

Tanzania na Michezo Ya Olimpiki 2016

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,377
Reaction score
4,847
Kama sikosei Tanzania tumepeleka wanamichezo 7 tu kwenye michezo inayoendelea ya olimpiki 2016 wakati Marekani mpaka sasa ana medali 86 kwa iyo hata wanamichezo wetu wote wangeshinda medali stll bado tu...

Nchi yetu leo ilitakiwa iwe inapambana na Kenya Au Ethiopia kwa Upande wa medali hasa upande wa Riadha,ukiangalia ss na Kenya hatuna tofauti kubwa kijiografia anzia hali ya hewa mpaka sura nchi(milima,mabonde,nyanda za jùu) lakini sijui kwann wenzetu wametuacha tena sana

Michezo ni ajira kama Ajira zingne leo pale Nigeria Nwako Kanu anahospitali kubwa ya magonjwa ya Moyo likewise Drogba naye anasera ya kujenga zahanati kila kijj pale kwao Ivory Coast na Maduka makubwa/ Shoprite pale Abuja/Lagos zinamilikiwa na Wanamichezo.

Kwetu hapa siku baada ya Siku michezo inazd kurud nyuma walikuwepa kina Filbert Bayi,Nyambura,Ikangaa...nk inamaana tumeshindwa kuzalisha akina Filbert Bayi wengine??

karibu Tujadili kwann Michezo inazidi kurudi Nyuma nchini Mwetu wakati nchi Jirani zikizidi kufanya vizuri...
 
Pesa za umiseta zipelekwe kwenye ujenzi wa madawati.
Leo Tanzania tuna mapori mangapi serikali ingewapa wadau hata pori moja wakate miti watengeneze madawati michezo iendelee...nakumbuka nimeshiriki sana Umitamshumta kulikua na Vipaji sana anzia Mpira wa miguu mpaka riadha
 
sina Data kamili mpaka sasa vimejengwa vingapi mkuu?? hao hao wanamichezo wangejenga ivyo viwanda
Hilo limekwisha fanyika mkuu hakuna tena umiseta au umitashunta untill further notice.
 
Naona mnamjaribu mtukufu rais, hii nchi ni ya viwanda,tunataka tutengeneze madawati kibaoooooooo,michezo ya nini hapa,ooooooh tusijaribiane
 
Hilo limekwisha fanyika mkuu hakuna tena umiseta au umitashunta untill further notice.
basi wangetafuta njia mbadala ya kuendeleza vipaji vilivyoko katika shule mbalimbali.
 
labda tutengeneze za tanzanite halafu tuziibe sio tushinde

hili swali limenifanya niamini hufuatilii michuano ya olympic ya rio
mkuu me nahesabu medali tu iyo ya Ky jel/condom sijaona
 
Back
Top Bottom