Mkuu;
Hakuna ujenzi wa madawati bali utengenezaji madawati. Lakini, hao hao watakao yakalia madawati hayo, wafundishwe michezo.
Ni Tz tu nimeona uchawi wa mpira. Ati. Center half anavaa hirizi ili akiliachilia shuti kipa wa upinzani adondoke. Ngoma ni wakati timu zote zatoka dar. Mchawi wao, mmoja tu.
Badala ya kujifunza namna ya kuufyatua mpira tunapewa ruksa kuwafyatua watoto. Wale nini, wasome vipi au wavae nini hakuna wa kuuliza. Hakika hii ni Tz ya viwanda mpaka vya watoto lakini hakuna nepi.