Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 803
- 870
Wanapiga kelele tu.😂😂Sijawahi kusikia wanasiasa na viongozi.wanazungumzia wages kwenye report au hotuba zao.
Sana mkuu.Inasikitisha sana
Hapo uchumi hauhusiki ni kundi la wahuni fulani waliozoea ubabaishaji na unyonyaji.Uchumi mbovu
Ukishafanya kazi ulipwe matako kama uchumi hauhusikiHapo uchumi hauhusiki ni kundi la wahuni fulani waliozoea ubabaishaji na unyonyaji.
Ukiwa huja comment soma uelewe, usiwe unakurupuka kama fisi aliyefumaniwa kwenye zizi.Ukishafanya kazi ulipwe matako kama uchumi hauhusiki
Anasema hatuwezi kuandamana hapa mtandaoni“Changamoto ya ajira nchini Tanzania haiko kwenye ukosefu wa kazi, bali kwenye mfumo wa unyonyaji unaoendelea, hususan katika sekta binafsi
Asante sana kwa taarifa mkuu. 🙏🙏Anasema hatuwezi kuandamana hapa mtandaoni
16 June 2025
''MTU ALIYEKUWA na MAKAZI BORA HAWEZI KUANDAMANA'' - MKURUGENZI MTENDAJI NHC AFUNGUKA...
View: https://m.youtube.com/watch?v=1g3Au2S8JUI
Shirika la Nyumba la Taifa NHC limeelezea jinsi lilivyokwamuliwa na Utawala wa mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha kukamilisha miradi yake ya makazi bora na ya kisasa.
Akizungumza na wahariri Dar leo, Mkurugenzi Mtendaji wa NHC Hamad Abdallah amesema miongoni mwa miradi ambayo ilikwama kama vile mradi wa Golden Premier Regence ambao ulikwama kwa miaka nane sasa miradi huo umefufuliwa kwa jitihada za Rais Samia na tayari mkandarasi sasa anaendelea na kazi....