Tanzania, Morroco, South Africa na Egypt zinaongoza Afrika katika mapato ya Utalii

Hata kama ni uwongo, huu hapa umezidi. Unapata idadi ndogo ya watalii hizo fedha una make vipi?

Tanzania tourism is Low density, High quality , High priced tourist products.

Kwa kuwa ni low density , quality yake ni nzuri (Bomba) kwa kuwa product ni quality , its highly priced.

Ndio maana ya mapato hayo.

Tanzania is not doing and discouraged Mass Tourism, Kenya does Mass tourism.
.
 
Stupid is as stupid gets,
Mmejifunza kutembea Jana Leo hii mnajiona mnaweza mbio za sakafuni
Kalb hayawan!
 
Hahahaha, no body can believe Kenyan government even Kenyans themselves, remember that IMF announced several times that Kenya has been manipulating its money and over value it.

There are many International monetary institutions which also gave the same narratives on Kenya about cooking its GDP in order to get loans from financial institutions. How come that Kenyan GDP in 2014 was $64B but in 2019 to have $90B while average growth rate is 5.6% per year?.
 
... by the way, even that USD 64 billion in 2014 could also be falsified, this lie is more than decade old, it's about to loose feathers.... father's won't fly anymore
 

Tanzanians mizembe facts don't lie., from revenue to infrastructure inaonekana we can't have same GDP na ya Tanzania, do the maths na hiyo average ya 5.6 from 2014 to June 2019, tuone GDP itakua ngapi., ($90B!!!), povu ruksa
!
 
... by the way, even that USD 64 billion in 2014 could also be falsified, this lie is more than decade old, it's about to loose feathers.... father's won't fly anymore

fanya hesabu wewe wacha uzembe kaka even from before 2014 from all sources., up to as at June 2019..,
 
Kenya tatizo lenu ni uwezo mdogo wa kufikiria, badilikeni aise. Tanzania tiliwashauri sana kwamba badilisheni Sera yenu ya utalii kutoka " High volume tourism to high value tourism ", ila kwasababu ninyi ni watu wa kupenda sifa na hamna uwelewa wa kutosha mlikataa.

Katika "high volume tourism" tunawavutia na kuwalenga zaidi wale matajiri ambao wengi wanakuja Tanzania kupumzika kwa muda mrefu katika Hotel zetu, sio ninyi mnalenga wanafunzi (back packers) wakifika Kenya wanalala katika Guest houses za $30. Soma post yangu #7 hapo juu. Kumbuka kwamba sisi wote tunafanya biashara ya vyakula, ila Tanzania chakula chetu tunawauzia wakazi wa "Karen", wakati ninyi mnawauzia wakazi wa Kibera, japo mchele ni huohuo.
 
There is no other source of data for tourist earnings in TZ except the Magufuli govt..
Go to all international bodies that deal with tourism sector in this world, Tanzania tourism sector is ranked highly above Kenya. Fortunately even in this video, at the beginning he is mentioning the source of this information, listen carefully.
 
Write your reply.....and now when Kenya adds the new investments and revenue captured so far ndio maana IMF projected by end of 2019 we will hit $100B+., mezeni wembe.., just because our media exposes all ills and negative sometimes do the percentage ratio of the happening, the number of population affected in which area., sio kukurupuka tu ovyo ovyo., Kibera is the largest slum in the world, just because someone's OPINION was quoted by media or and captured in the internet, data zinaonyesha less than 300k., so ni ukweli 90% of Dar dwellers live on less than a dollar per day., and 70% extremely poor., I read this once.,
 
Tanzanians mizembe facts don't lie., from revenue to infrastructure inaonekana we can't have same GDP na ya Tanzania, do the maths na hiyo average ya 5.6 from 2014 to June 2019, tuone GDP itakua ngapi., ($90B!!!), povu ruksa
!
Data ya 2019 haijatoka wacha kulazimisha mambo, wewe anzia 2014 ambapo GDP ilikua $64B piga hesabu hadi 2018 kwa kutumia growth rate ya 5.6%, kisha jiulize hiyo 90% imetoka wapi?
 
Acha kulalamika na kupiga kelele, Kenya GDP by 2014 ilikua $64B, ukitumia growth rate ya 5.6% per year, five years later GDP itafika ngapi?. Hahahaha, Hahahaha.
 

Blunt and lame excuses.
 
from 2014 to 2018., $79B+., kwani unafanya hesabu vipi kaka?., joto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…